Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha sijasema mimi jamani, iiii wasukuma.Wasukuma kila kitu kwao ni kigeni sio fongo tu hata alivyopanda star boy wao waliendelea kushangaa tu kama hawajui wamefata nini pale
Huko usukumani ujanja unachelewa kufika so usishangae sana..baada ya miaka mitano ndio watakuja kupagawa na huo mziki..tuwape muda tu wasukuma kwani huwa wanachelewa sana kwenda na wakati
Eti tutapagawa nao baadaye kidogo, iii, wagosha!🙂
Kuna kwingine walisema tulienda huku tumevaa yeboyebo...lol
Ukute mlibeba na woofers masikioni, maana nyie
Kisses [emoji8][emoji8][emoji8]Wana fujo hawa na nyimbo zao,yaan aje ya ally kiba ulinganishe na hakunaga ushemeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole pole haunaa. .pole mama haunaa. .pole baba haunaa. .singeli ndo habar ya dsm [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa dar slam wanavituko jamani khaaaa
Mmea unafanya kazi mkuu [emoji12]Huyu atakuwa chizi
Kwani mmekatazwa?Ambao hampendi singeli tuacheni na visingeli vyetu, singeli yenyewe mnayoijua ni hiyo moja hainaga ushemeji, ambayo binafsi siikubali kihivyo(namkubali sana sholo mwamba). Acheni kuongelea kitu ambacho hamna data nacho. Tuacheni tunaoijua na kufuatilia singeli tuburudike huku tukimwaga maji na kucheza kama kambale
Kwani kuna mtu kasema kakatazwa?Kwani mmekatazwa?
Ambao hampendi singeli tuacheni na visingeli vyetu, singeli yenyewe mnayoijua ni hiyo moja hainaga ushemeji, ambayo binafsi siikubali kihivyo(namkubali sana sholo mwamba). Acheni kuongelea kitu ambacho hamna data nacho. Tuacheni tunaoijua na kufuatilia singeli tuburudike huku tukimwaga maji na kucheza kama kambale
Kwani kuna mtu kasema kakatazwa?
Ina maana unataka kuniambia hiyo "tuacheni" ndo ina maana ya kua "tumekatazwa" au? Nlichomaanisha ni kua watu mnaiponda singeli ilihali hamuifuatilii na nyimbo yenyewe mnayoijua ni moja, hivyo hamjui undani wake. Tuacheni tunaoipenda tuendelee kufurahia singeli, kama hamuielewi mnakausha tuu. Ambacho hujaelewa hapo ni nini sasa?Unakijua kiswahili vizuri?
Hayo maneno yana maana gani?
kweli kabisa mkuu, hao wengine wanaoiponda singeli hawaijui singeli yenyew na hata fongo mwenyew wamemjua baada ya kutoa hainaga ushemeji sisi tunaemjua fongo tangia enzi hizo za twista, disco dancer, chupi la mnato na vijimambo na nani bado sijamtaja tumekaa kimya tuAmbao hampendi singeli tuacheni na visingeli vyetu, singeli yenyewe mnayoijua ni hiyo moja hainaga ushemeji, ambayo binafsi siikubali kihivyo(namkubali sana sholo mwamba). Acheni kuongelea kitu ambacho hamna data nacho. Tuacheni tunaoijua na kufuatilia singeli tuburudike huku tukimwaga maji na kucheza kama kambale