Man Fongo: Singeli tunachukua soko la muziki sasa, wasanii wa bongo fleva watafute kazi nyingine

Wasukuma kila kitu kwao ni kigeni sio fongo tu hata alivyopanda star boy wao waliendelea kushangaa tu kama hawajui wamefata nini pale
Hahaha sijasema mimi jamani, iiii wasukuma.
C.c kui atoto geniveros
Huko usukumani ujanja unachelewa kufika so usishangae sana..baada ya miaka mitano ndio watakuja kupagawa na huo mziki..tuwape muda tu wasukuma kwani huwa wanachelewa sana kwenda na wakati
 
Huyo man fongo ndivyo alivyo danganywa na shilole
Umefeli fongo.
 
Sio Watz wote tunaopenda aina hiyo ya muziki.
Niache kumsikiliza Ali Kiba; Aje
Jux;Wivu
Maua Sama; Sisikii nimsikilize Man Fongo?
Bado hujatushika jombaa.
 
Ambao hampendi singeli tuacheni na visingeli vyetu, singeli yenyewe mnayoijua ni hiyo moja hainaga ushemeji, ambayo binafsi siikubali kihivyo(namkubali sana sholo mwamba). Acheni kuongelea kitu ambacho hamna data nacho. Tuacheni tunaoijua na kufuatilia singeli tuburudike huku tukimwaga maji na kucheza kama kambale
 
Pole pole haunaa. .pole mama haunaa. .pole baba haunaa. .singeli ndo habar ya dsm [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa dar slam wanavituko jamani khaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani mmekatazwa?
 

Unakijua kiswahili vizuri?
Hayo maneno yana maana gani?
Kwani kuna mtu kasema kakatazwa?
 
Unakijua kiswahili vizuri?
Hayo maneno yana maana gani?
Ina maana unataka kuniambia hiyo "tuacheni" ndo ina maana ya kua "tumekatazwa" au? Nlichomaanisha ni kua watu mnaiponda singeli ilihali hamuifuatilii na nyimbo yenyewe mnayoijua ni moja, hivyo hamjui undani wake. Tuacheni tunaoipenda tuendelee kufurahia singeli, kama hamuielewi mnakausha tuu. Ambacho hujaelewa hapo ni nini sasa?
 
kweli kabisa mkuu, hao wengine wanaoiponda singeli hawaijui singeli yenyew na hata fongo mwenyew wamemjua baada ya kutoa hainaga ushemeji sisi tunaemjua fongo tangia enzi hizo za twista, disco dancer, chupi la mnato na vijimambo na nani bado sijamtaja tumekaa kimya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…