Man Fongo: Singeli tunachukua soko la muziki sasa, wasanii wa bongo fleva watafute kazi nyingine

Badala uombe ushauri wa nini chakufanya ili uendelee kudumu ndio kwanza una tishia watu/ wasanii wenzako watafute kazi nyingine.... Kumbukumbu zangu zina niambia"" wasanii wote wanao jitapa, walio wahi kujitapa" walisha potea muda mrefu sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…