Man kills his girlfriend because she refused to marry him after sponsoring her University studies

Man kills his girlfriend because she refused to marry him after sponsoring her University studies

That man did a 'right thing'... I hope hata Mungu atamsamehe kwa kitendo alichokifanya.
Wanawake wengi wamegeuka kuwa matapeli huku wakicheza na hisia za wanaume wanaowekeza kwao.
Just imagine mtu unamtumia nauli dem atoke mkoani kuja kukusalimia tena unamtumia nauli ya ndege alafu baada ya kupokea hela, anakwambia eti mara sijui kanyimwa ruhusa, mara eti sijui kaahirisha safari na sababu kibao, kwa nini mambo hayo anapoyasema asirudishe ile ela yako ya nauli uliyomtumia au kwa nini asikatae kuipokea? Huu ni utapeli wa hisia, tena ni utapeli wa hali ya juu...
Mmmmm
 
Sasa mtoto mzuri kama huyo angekubali kuolewa angepata shda gani...kama hakutaka si angemuweka wazi jamaa...mtu amekutoa kwenye ujinga wako afu unamuona fala hafai,,,,,, haya mambo jamani yanaumiza sana kwakweli...yan wadada wa siku hz hata uwafanyie nn bdo hawana shukrani ndo kwanza watakuona fala....AAAH acha aende huko kwa Mungu wake..
 
Mnaosomeshwa mjifunze hapa,mtu anapokusomesha hali ukijua sio baba yako wala ndugu yako wa damu usitegemee kingine ila kuja kuitumikia kwa ufasaha "fimbo yake kubwa" labda akukatae mwenyewe,unaona hutaki mwambie mapema na hela sasaivi ilivyokuwa ngumu umzingue mtu nakuhakikishia hiko kichwa kitakuwa halali yake.
Wanatutesa sana hawa watu kwakwelli...bas tu
 
Huu ni upuuzi kwa kiasi fulani hasa kwangu mimi..

Wote wanaotenda mambo kama hya, ama kujiua wenyewe kisa mapenzi ama kufeli mitihani na mfanano wa hayo, kwanza akilini mwao wanakuwa na jibu la aina moja, kama ni mtihani basi ye anakuwa anaamin katika kufaulu 100% hafikirii kama kuna lolote linatokea

So hapo jamaa yangu ye aliweka imani kwa mwanamke 100% kitu ambacho si sahihi unamuamin vipi binadamu mwenzio kwa 100%.. hata mama zetu kuna kipindi wanatuongopea(japo kwa lengo zuri) ile kunuwa eeh, kunywa baba, dawa tamu ee.. ila ukiyanywa ni machungu, sas ndio iweje ukamuamin mtu baki asiejua hata uchungu wako..

Narudia tena, ukimsomesha mwanamke moyoni amini upo unamsaidia mtu baki tu, suala la mapenzi ni uamuzi wake na muda wowote yaweza kubinuka tikitaka..
Sasa ona anaenda kuozea jela, ndoto zake, mipango yake na habar zake zote zimekomea hapo.. inatia uchungu saana.
Yanaumiza, then usilinganishe moyo wako na wa mtu mwingine...Haya mambo yalipelekea manabii wetu kufanya mambo ya kishenzi sana na kisa kutugharimu maisha yetu....we acha tu, usiusemee moyo wa mwenzako bhana.
 
Mliokuwa na wapenzi ama waume zenu mjifunze jamani....kuna wakati hekima huzidiwa na upumbavu....ndipo yanapotokea haya.
 
That man did a 'right thing'... I hope hata Mungu atamsamehe kwa kitendo alichokifanya.
Wanawake wengi wamegeuka kuwa matapeli huku wakicheza na hisia za wanaume wanaowekeza kwao.
Just imagine mtu unamtumia nauli dem atoke mkoani kuja kukusalimia tena unamtumia nauli ya ndege alafu baada ya kupokea hela, anakwambia eti mara sijui kanyimwa ruhusa, mara eti sijui kaahirisha safari na sababu kibao, kwa nini mambo hayo anapoyasema asirudishe ile ela yako ya nauli uliyomtumia au kwa nini asikatae kuipokea? Huu ni utapeli wa hisia, tena ni utapeli wa hali ya juu...
Yan ni hatar sana ndugu... Mwanamke unaweza ulamtolea posa na mahari lkn bdo akakugeuka bila shida yoyote
 
Yanaumiza, then usilinganishe moyo wako na wa mtu mwingine...Haya mambo yalipelekea manabii wetu kufanya mambo ya kishenzi sana na kisa kutugharimu maisha yetu....we acha tu, usiusemee moyo wa mwenzako bhana.
Gaudensia ndugu yangu, huo bado ni upuuzi tu, hakuna excuse kwa hilo.

Katika maamuzi hakuna kitu kinachoitwa moyo, ni akili tu ndio inapaswa kutumika, wale wote wanaoupa moyo nafas kwenye maamuzi yao huwa wanafeli, tena vibaya mnoo.

Hebu nikupe mfano, mwanamke anakula kipigo kila siku, mwanaume mlevi, hamuheahim wala kumjali.. usiku anakula kipondo lakin kesho asubuhi anajibu lakini bado na mpenda, sasa hapo kuna utimamu au wendawazimu..

Katika maisha yako ukiupa moyo kipaumbele tu kuliko akili kuna uwezekano mkubwa wa kufeli katika mambo mengi.
 
Tenda wema nenda zako, unapomtendea mtu wema alafu utegemee wema kutoka kwake in return utaishia tu kupata disappointment.
 
hata mimi naua,

japo siwezi kufika huko kwa sababu mchumba hasomeshwi.. mwanamke ukitaka umsomeshe mzalishe kwanza ,, manake akikukimbia wanao watafaidi. ila mchumba hasomeshwi. pumbavu
Wanakimbiwa walooa kabisa na wana watoto sembuse ulomzalisha!! Kumzalisha sio guarantee pia my kaka. Ukitaka usikimbiwe basi PENDWA.
 
Wanakimbiwa walooa kabisa na wana watoto sembuse ulomzalisha!! Kumzalisha sio guarantee pia my kaka. Ukitaka usikimbiwe basi PENDWA.
Soma tena post yangu.
Nimesema hata akikimbia atawalea wanao. Kuliko usomeshe afu akikimbia unabaki kulia lia na huna cha kujifarijia
 
That man did a 'right thing'... I hope hata Mungu atamsamehe kwa kitendo alichokifanya.
Wanawake wengi wamegeuka kuwa matapeli huku wakicheza na hisia za wanaume wanaowekeza kwao.
Just imagine mtu unamtumia nauli dem atoke mkoani kuja kukusalimia tena unamtumia nauli ya ndege alafu baada ya kupokea hela, anakwambia eti mara sijui kanyimwa ruhusa, mara eti sijui kaahirisha safari na sababu kibao, kwa nini mambo hayo anapoyasema asirudishe ile ela yako ya nauli uliyomtumia au kwa nini asikatae kuipokea? Huu ni utapeli wa hisia, tena ni utapeli wa hali ya juu...
Ha ha ha hyo ni biko
 
hakupaswa kuua...ni upumbavu wake.....mchumba/glfurend!!hawasomeshwi kamwe,,jukumu la wazazi wao....somesha mkeo au dada basiiii.......now anaanza maisha mapya gerezani.......na nyie wanawake nini hii visimi mbilimbi????
 
Back
Top Bottom