Man kills his girlfriend because she refused to marry him after sponsoring her University studies

Mmmmm
 
Sasa mtoto mzuri kama huyo angekubali kuolewa angepata shda gani...kama hakutaka si angemuweka wazi jamaa...mtu amekutoa kwenye ujinga wako afu unamuona fala hafai,,,,,, haya mambo jamani yanaumiza sana kwakweli...yan wadada wa siku hz hata uwafanyie nn bdo hawana shukrani ndo kwanza watakuona fala....AAAH acha aende huko kwa Mungu wake..
 
Wanatutesa sana hawa watu kwakwelli...bas tu
 
Yanaumiza, then usilinganishe moyo wako na wa mtu mwingine...Haya mambo yalipelekea manabii wetu kufanya mambo ya kishenzi sana na kisa kutugharimu maisha yetu....we acha tu, usiusemee moyo wa mwenzako bhana.
 
Mliokuwa na wapenzi ama waume zenu mjifunze jamani....kuna wakati hekima huzidiwa na upumbavu....ndipo yanapotokea haya.
 
Yan ni hatar sana ndugu... Mwanamke unaweza ulamtolea posa na mahari lkn bdo akakugeuka bila shida yoyote
 
Yanaumiza, then usilinganishe moyo wako na wa mtu mwingine...Haya mambo yalipelekea manabii wetu kufanya mambo ya kishenzi sana na kisa kutugharimu maisha yetu....we acha tu, usiusemee moyo wa mwenzako bhana.
Gaudensia ndugu yangu, huo bado ni upuuzi tu, hakuna excuse kwa hilo.

Katika maamuzi hakuna kitu kinachoitwa moyo, ni akili tu ndio inapaswa kutumika, wale wote wanaoupa moyo nafas kwenye maamuzi yao huwa wanafeli, tena vibaya mnoo.

Hebu nikupe mfano, mwanamke anakula kipigo kila siku, mwanaume mlevi, hamuheahim wala kumjali.. usiku anakula kipondo lakin kesho asubuhi anajibu lakini bado na mpenda, sasa hapo kuna utimamu au wendawazimu..

Katika maisha yako ukiupa moyo kipaumbele tu kuliko akili kuna uwezekano mkubwa wa kufeli katika mambo mengi.
 
Tenda wema nenda zako, unapomtendea mtu wema alafu utegemee wema kutoka kwake in return utaishia tu kupata disappointment.
 
hata mimi naua,

japo siwezi kufika huko kwa sababu mchumba hasomeshwi.. mwanamke ukitaka umsomeshe mzalishe kwanza ,, manake akikukimbia wanao watafaidi. ila mchumba hasomeshwi. pumbavu
Wanakimbiwa walooa kabisa na wana watoto sembuse ulomzalisha!! Kumzalisha sio guarantee pia my kaka. Ukitaka usikimbiwe basi PENDWA.
 
Wanakimbiwa walooa kabisa na wana watoto sembuse ulomzalisha!! Kumzalisha sio guarantee pia my kaka. Ukitaka usikimbiwe basi PENDWA.
Soma tena post yangu.
Nimesema hata akikimbia atawalea wanao. Kuliko usomeshe afu akikimbia unabaki kulia lia na huna cha kujifarijia
 
Ha ha ha hyo ni biko
 
hakupaswa kuua...ni upumbavu wake.....mchumba/glfurend!!hawasomeshwi kamwe,,jukumu la wazazi wao....somesha mkeo au dada basiiii.......now anaanza maisha mapya gerezani.......na nyie wanawake nini hii visimi mbilimbi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…