Man kills his girlfriend because she refused to marry him after sponsoring her University studies

Man kills his girlfriend because she refused to marry him after sponsoring her University studies

Kamaunataka msomi, oa ambaye kashasoma au chumbia anasomeshwa na familia yake.

Kufanya mapenzikama biashara haya ndiyo matokeo yake, binti amefariki na bwana atachukua mvua kibao kama si kunyongwa.
 
Usiache...ila akili yako iwe tayari kW lolote yaan chukulia kama unatoa msaada...don't expect love n return
Usimpotezeee mwenzioo..!! Mzee usitoeee achaa ufalaa etiiii..bora untumiee mzazi.wako kijijini
 
Wanawake hawana huruma.kama ulikuwa haumpendi si ungemwambia mapemaa.
Na hyo jamaa amefanya kosa kuua.pumbavu zake
 
That man did a 'right thing'... I hope hata Mungu atamsamehe kwa kitendo alichokifanya.
Wanawake wengi wamegeuka kuwa matapeli huku wakicheza na hisia za wanaume wanaowekeza kwao.
Just imagine mtu unamtumia nauli dem atoke mkoani kuja kukusalimia tena unamtumia nauli ya ndege alafu baada ya kupokea hela, anakwambia eti mara sijui kanyimwa ruhusa, mara eti sijui kaahirisha safari na sababu kibao, kwa nini mambo hayo anapoyasema asirudishe ile ela yako ya nauli uliyomtumia au kwa nini asikatae kuipokea? Huu ni utapeli wa hisia, tena ni utapeli wa hali ya juu...
Wanaume sio matapeli wa mapenzi??? Acha akaozee jela...kuua mtu sio sifa ila nasisitiza mchumba hasomeshwii...
 
Siwezi kuua...atakufa mwenyewe kwa dhamira yake itakayo muandama
 
Back
Top Bottom