Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
KENYA: Mwanaume mwenye umri wa miaka 30 amewauwa mke na watoto wake wawili kwa Panga katika eneo la Molem huko Maragua.
Chanzo cha Mwanaume huyo kufanya unyama huo inadaiwa kuwa ni mgogoro wa kifamilia. Hata hivyo Mwanaume huyo alijiua.
======
A 30 year old man has hacked his wife and two children to death using a machete in Molem, Maragua allegedly after family dispute. The man later committed suicide.
Source: NTV News