Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
Inategemea namna mnaishi nyumbani na culture yenu ikoje. Kuna ambao hawaoni shida, na wengine wanaona ni taboo kabisa mwanaume kuhusika kwa namna yoyote ile katika mambo ya hedhi. Binafsi nadhani wana ndoa wana share so much already, so I can't see why they wouldn't manage that together (so to speak).
Mi naomba uifunge hii thread. Please..
Reason: Haina Kichwa Wala Miguu!
kwani tatizo liko wapi hapo mkubwa.......?
Naonga mkono hoja inadhalilisha maana vitu vingine havina kichwa wala miguu au ihamishwe jukwaa.
We unasema kununua..mimi ashanielekeza ht kubadilisha hyo pedi kwenye nguo yake..so akienda kuoga minachukua nguo naweka pedi akirudi anavaa tu.
if what you say here is true!you are more than a man!so romantic!
Unaenda dukani/supermarket kununua mvinyo na vitu vingine vya home. Mkeo anakwambia umnunulie pedi. Utajisikiaje?