Amefunga ngapi huyu Shishibeby wenu?Kabamba Tshishimbi
Jamaa anajua
Mkuu kubali basi kwamba jamaa anajuaAmefunga ngapi huyu Shishibeby wenu?
Kwahiyo akili yako inakuaminisha kuwa ili mchezaji awe "Man of the Match" lazima afunge??? Au bado una akil kama Hajji Manara!!!!Amefunga ngapi huyu Shishibeby wenu?
Ngoja nisubiri jibu maana mpaka sasa najiuliza pia.Hivi Okwi aliķuwepo leo?
Yaani angekuepo Tambwe leo nadhan hata huyo mdosi wenu angesusa kuinunua hilo li timu yaani ingekuwa ni zaidi ya mauaji ya hiroshima & nagasaki!
Killer pass ya Busitwa naonaga Modric akizipiga..mna bahati shenzi nyie..Ngoma,Tambwe,Kamusoko wangekuwepo SAA moja mngelala
Mkuu kubali basi kwamba jamaa anajua
Hata kama ajafunga,tuweke unazi pembeni.
Wanalishana ujinga mwingi wa matopeni. Jana nimemsikia Kibaden akisema Kuna mtu wa Simba atapita hat trick leo. Uzee unamjia vibaya sana.
Naye mapengo Kibonde alijaa kejeli nyingi kwenye kipindi cha Jahazi.
Upuuzi huu, huwafanya mbumbumbu kwenda na matokeo uwanjani
Simba walishangilia ya mtibwa au umesahau!