Man of the match: Papy Kabamba Tshishimbi

Man of the match: Papy Kabamba Tshishimbi

5df7e3cecb364a055b879c513c9368c2.jpg
 
Yaani angekuepo Tambwe leo nadhan hata huyo mdosi wenu angesusa kuinunua hilo li timu yaani ingekuwa ni zaidi ya mauaji ya hiroshima & nagasaki!
 
Yaani angekuepo Tambwe leo nadhan hata huyo mdosi wenu angesusa kuinunua hilo li timu yaani ingekuwa ni zaidi ya mauaji ya hiroshima & nagasaki!


Kumbe Ndiyomana [HASHTAG]#Vyura[/HASHTAG] Vikawa Vinaliwa Na Kambale Kwasababu Havina Kumbukumbu Ya Matukio!!!
Hivi Kwani Huyo Fatuma Soko na Tambwe Wenu Hakuemo Last Season Tulipowapiga Viwili Tukiwa Pungufu???
Kwanini munasahau Upesi??


Killer pass ya Busitwa naonaga Modric akizipiga..mna bahati shenzi nyie..Ngoma,Tambwe,Kamusoko wangekuwepo SAA moja mngelala
 
Mkuu kubali basi kwamba jamaa anajua
Hata kama ajafunga,tuweke unazi pembeni.

Kwahiyo Vile Munapomdiscuss Niyonzima Kuwa Tokea Aje Simba Hana Goli Huwa Hamujui Kama Kazi Ya Midfield ni Kuunganisha Timu na si Lazima Kufunga au?
Mutafikiri Kwa Kutumia Makalio mpaka lini????
 
Wanalishana ujinga mwingi wa matopeni. Jana nimemsikia Kibaden akisema Kuna mtu wa Simba atapita hat trick leo. Uzee unamjia vibaya sana.
Naye mapengo Kibonde alijaa kejeli nyingi kwenye kipindi cha Jahazi.
Upuuzi huu, huwafanya mbumbumbu kwenda na matokeo uwanjani


Lazima Mumchukie King Kibaden Kwani Alichowahi Kuwafanya [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Wakati Akiwa Mchezaji Kamwe Hamtoweza Kukisahau Wala Kulipiza..

HAT-TRIK YA DERBY YA KARIAKOO
 
Simba walishangilia ya mtibwa au umesahau!


Tofautisha Kushangilia GOLI na Kushangilia DRAW...

Sisi Kwa Mtibwa Hatukushangilia Kutoka Sare, Bali Tulishangilia Kufunga Goli...

Lakini Baada Ya Mchezo Tulihuzunika Kudrop Point Kwa Mtibwa kama Tulivyohuzunika Jana Kupoteza Points Kwa Timu Ndogo Kama Yanga....
 
Back
Top Bottom