Nasisi tunafurahia sababu tulifanya makosa mengi yaliyosababisha tuwakosekoseYa
YA MTIBWA TULISHANGILIA KWASABABU TULIFANYA MAKOSA MENGI NA HATUKUCHEZA VIZURI KWAHIYO MTIBWA WALICHEZA VIZURI SASA NYIE ETI MNA MAN OF THE MATCH LEO WA JANGWANI HE HE AU KWASABABU MMEZOEA MARA NYINGI KIPINDI CHA PILI HUWA TUNACHEZA SABA SASA LEO MKAONA HUU MZIKI WA KUMI NA MOJA KWA KUMI NA MOJA MTAUWEZA KWELI.PENATI MBILI MMESAMEHEWA!
Watampeleka sehem kwa mkopo[emoji3][emoji3]Watakatishaji hao ni kawaida yao upigaji.
Ninyonzima hautomaliza mkataba pale Simba
Mkuu hakuna mchezaji anayepiga pasi 800 kwenye gemu mojaWeka takwimu sake hapa. Kapiga pasi ngapi za uhakika? Kaaintercept Paso ngapi? Kafunga goli ngapi? Kafanya tackles ngapi? Kina Xavi walikuwa wanapiga pasi 850 kwenye mechi 1 na wanakimbia hadi kilometa 20 ndani ya mechi 1 usiniambie tshimbi wenu kapiga pasi 15 tu na ametembea mita 3000 tu kwenye hii mechi. Tuache ukanjanja
Mkuu hiyo picha ya lulu na komba bado unayo tu kwenye avatar yakoPapy Kabamba Tshishimbi.........
Hivi vigazeti γtabloidsγ si tu kwamba juwa sivisomiKigazeti cha udaku wa Soka hiki. Vipo viwili. Kimoja Msimbazi kingine Jangwani. Vyote ni utumbo mtupu
mshenzi Sana huyo kichaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sipati picha umeandika ukiwa na hisia gani
Weka takwimu sake hapa. Kapiga pasi ngapi za uhakika? Kaaintercept Paso ngapi? Kafunga goli ngapi? Kafanya tackles ngapi? Kina Xavi walikuwa wanapiga pasi 850 kwenye mechi 1 na wanakimbia hadi kilometa 20 ndani ya mechi 1 usiniambie tshimbi wenu kapiga pasi 15 tu na ametembea mita 3000 tu kwenye hii mechi. Tuache ukanjanja
Ndio. Kwa sababu: 1. Salute, sluti ama saluta kwa Kitaliana maana yake halisi ni heshima. Humkumbatii usiyemheshimu. 2. Ukisoma lugha ya kiwiliwili (body language) utaona kwamba (i) Tshishimbi hakuelekeana uso kwa uso na Niyonzima, inaonekana Niyonzima ndiye ameenda kulazimisha kumkumbatia mwenzake. Maana yake ni kuwa Niyonzima ameguswa na Tshitshimbi lakini Tshitshimbi hakuguswa na Niyonzima. (ii) Licha ya kumkumbatia Tshitshimbi kwa hiari yake, uso wa Niyonzima hauonekani na bashasha ya kumbatizi ya dhati. Ni kama vile amejikuta tu akimkumbatia bila ya kujijua. Bila ya shaka ni uchezaji wa Tshitshimbi ndio anaokusidia kuukumbatia, siyo Tshishimbi mwenyewe. (iii) Licha ya kutokuwa na bashasha, mtizamo wa Niyonzima unaonekana kulenga mbali na Tshitshimbi na mbali ya uwanja. Kisaikolojia, anahisi mwanzo wa kumdhibiti kwenye mechi ijayo ni kujua udhaifu wake, angalau kwa kujipima naye ana kwa ana. Hiyo sura inaashiria tafakuri ya Niyonzima ya nini udhaifu huo kulingana na jihi (composure) ya mtu aliyemshika hivyo.........Kwahiyo Kuonesha FairPlay Kwa Kumhug Mpinzani Wako ndiyo kumpa Saluti au?
πππKigazeti cha udaku wa Soka hiki. Vipo viwili. Kimoja Msimbazi kingine Jangwani. Vyote ni utumbo mtupu
Kigazeti cha udaku wa Soka hiki. Vipo viwili. Kimoja Msimbazi kingine Jangwani. Vyote ni utumbo mtupu
Sio shenzi tu hawa ,, wanabahati kabisa mbwa hawa
Umemsikia Omog kuhusu Tshishimbi?Mkuu, kigazeti cha utumbo ni Jangwani. Ila MwanaSOKA ni gazeti pendwa nchini.. Kama unabisha uliza wauza magazeti.
duh kale katoto kumbe kanabebe mizigo halafu sikujua ni lile kabila wamebarikiwa kwa ukarimu!!Mkuu hiyo picha ya lulu na komba bado unayo tu kwenye avatar yako
Naomba Niwekee takwimu vivid with examplesMkuu hakuna mchezaji anayepiga pasi 800 kwenye gemu moja
Manara kapeleka barua ya mashita zidi ya Tshishimbi TFF.Fundi Papy Kabamba Tshitshimbi a.k.a Ngolo Kante a.k.a Kiboko ya mikia fc.
Siku ya tatu leo kipa wa mikia fc, Aishi Manula usiku halali analalamika mikono inamuuma na usiku anaweweseka anataja kila mara Tshishimbi Tshishimbi kisa mashuti makali ya Papy Kabamba Tshishimbi.