Man of the match: Papy Kabamba Tshishimbi

Man of the match: Papy Kabamba Tshishimbi

Ya

YA MTIBWA TULISHANGILIA KWASABABU TULIFANYA MAKOSA MENGI NA HATUKUCHEZA VIZURI KWAHIYO MTIBWA WALICHEZA VIZURI SASA NYIE ETI MNA MAN OF THE MATCH LEO WA JANGWANI HE HE AU KWASABABU MMEZOEA MARA NYINGI KIPINDI CHA PILI HUWA TUNACHEZA SABA SASA LEO MKAONA HUU MZIKI WA KUMI NA MOJA KWA KUMI NA MOJA MTAUWEZA KWELI.PENATI MBILI MMESAMEHEWA!
Nasisi tunafurahia sababu tulifanya makosa mengi yaliyosababisha tuwakosekose
 
Weka takwimu sake hapa. Kapiga pasi ngapi za uhakika? Kaaintercept Paso ngapi? Kafunga goli ngapi? Kafanya tackles ngapi? Kina Xavi walikuwa wanapiga pasi 850 kwenye mechi 1 na wanakimbia hadi kilometa 20 ndani ya mechi 1 usiniambie tshimbi wenu kapiga pasi 15 tu na ametembea mita 3000 tu kwenye hii mechi. Tuache ukanjanja
Mkuu hakuna mchezaji anayepiga pasi 800 kwenye gemu moja
 
Kigazeti cha udaku wa Soka hiki. Vipo viwili. Kimoja Msimbazi kingine Jangwani. Vyote ni utumbo mtupu
Hivi vigazeti 《tabloids》 si tu kwamba juwa sivisomi
Huwa hata ziviangalii kwanza vina rangi mbaya haivutii kiutaaaluma udaku mtupu na pumba za kiswahili
 
Niliona bango linasema huyo ni zaidi ya simba yote [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Weka takwimu sake hapa. Kapiga pasi ngapi za uhakika? Kaaintercept Paso ngapi? Kafunga goli ngapi? Kafanya tackles ngapi? Kina Xavi walikuwa wanapiga pasi 850 kwenye mechi 1 na wanakimbia hadi kilometa 20 ndani ya mechi 1 usiniambie tshimbi wenu kapiga pasi 15 tu na ametembea mita 3000 tu kwenye hii mechi. Tuache ukanjanja

Mkuu Hawa [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Wanasifu Majina na Wala si Stats Kwani Huenda ikawa Erasto Nyoni Kapiga Pasi Nyingi Kuliko Huyu Shishibaby.
 
Kwahiyo Kuonesha FairPlay Kwa Kumhug Mpinzani Wako ndiyo kumpa Saluti au?
Ndio. Kwa sababu: 1. Salute, sluti ama saluta kwa Kitaliana maana yake halisi ni heshima. Humkumbatii usiyemheshimu. 2. Ukisoma lugha ya kiwiliwili (body language) utaona kwamba (i) Tshishimbi hakuelekeana uso kwa uso na Niyonzima, inaonekana Niyonzima ndiye ameenda kulazimisha kumkumbatia mwenzake. Maana yake ni kuwa Niyonzima ameguswa na Tshitshimbi lakini Tshitshimbi hakuguswa na Niyonzima. (ii) Licha ya kumkumbatia Tshitshimbi kwa hiari yake, uso wa Niyonzima hauonekani na bashasha ya kumbatizi ya dhati. Ni kama vile amejikuta tu akimkumbatia bila ya kujijua. Bila ya shaka ni uchezaji wa Tshitshimbi ndio anaokusidia kuukumbatia, siyo Tshishimbi mwenyewe. (iii) Licha ya kutokuwa na bashasha, mtizamo wa Niyonzima unaonekana kulenga mbali na Tshitshimbi na mbali ya uwanja. Kisaikolojia, anahisi mwanzo wa kumdhibiti kwenye mechi ijayo ni kujua udhaifu wake, angalau kwa kujipima naye ana kwa ana. Hiyo sura inaashiria tafakuri ya Niyonzima ya nini udhaifu huo kulingana na jihi (composure) ya mtu aliyemshika hivyo.........
Wanasema a picture says a thousand words, picha inaongea maneno alfu.
 
Kigazeti cha udaku wa Soka hiki. Vipo viwili. Kimoja Msimbazi kingine Jangwani. Vyote ni utumbo mtupu
😀😀😀

sivipendi hivi vigazetu...Natamani viwe vinatumika kama toilet papers..
 
Kigazeti cha udaku wa Soka hiki. Vipo viwili. Kimoja Msimbazi kingine Jangwani. Vyote ni utumbo mtupu

Mkuu, kigazeti cha utumbo ni Jangwani. Ila MwanaSOKA ni gazeti pendwa nchini.. Kama unabisha uliza wauza magazeti.
 
Sio shenzi tu hawa ,, wanabahati kabisa mbwa hawa

Acha Usukule Kuwa Mstaarabu Wa Lugha!
Kwani Sisi Tunaotumia Majina ya YeboYebo, Mikia, Ndala, Wamchangani n.k. Unahisi Hatukuwa Wastaarabu bali Mstaarabu Ni Wewe Unaotuita Mbwa?
Usiwe Mjinga Kiasi Hicho...
 
Mkuu, kigazeti cha utumbo ni Jangwani. Ila MwanaSOKA ni gazeti pendwa nchini.. Kama unabisha uliza wauza magazeti.
Umemsikia Omog kuhusu Tshishimbi?
Tshishimbi is the real deal.
 
5e7115478ee24064932e3a70f1c32c49.jpg
 
Fundi Papy Kabamba Tshitshimbi a.k.a Ngolo Kante a.k.a Kiboko ya mikia fc.
Siku ya tatu leo kipa wa mikia fc, Aishi Manula usiku halali analalamika mikono inamuuma na usiku anaweweseka anataja kila mara Tshishimbi Tshishimbi kisa mashuti makali ya Papy Kabamba Tshishimbi.
 
Manara kapeleka barua ya mashita zidi ya Tshishimbi TFF.
 
Back
Top Bottom