Man of the match: Papy Kabamba Tshishimbi

Man of the match: Papy Kabamba Tshishimbi

db28655beb482d8029d7018b6f6a376d.jpg

Kwahiyo Kuonesha FairPlay Kwa Kumhug Mpinzani Wako ndiyo kumpa Saluti au?
 
Tofautisha Kushangilia GOLI na Kushangilia DRAW...

Sisi Kwa Mtibwa Hatukushangilia Kutoka Sare, Bali Tulishangilia Kufungwa Goli...

Lakini Baada Ya Mchezo Tulihuzunika Kudrop Point Kwa Mtibwa kama Tulivyohuzunika Jana Kupoteza Points Kwa Timu Ndogo Kama Yanga....
we paka unaongea nini
 
Mbumbumbu FC kazi yao ni kufuata mkumbo
Walipoambiwa timu imelala Serena wakaona ni kitu cha ajabu
Kweli kuongoza Simba ni rahisi kuliko kuongoza wanyama, ni bendera fuata upepo hawa watu sijawahi ona
1.3b hahahaha
 
Tofautisha Kushangilia GOLI na Kushangilia DRAW...

Sisi Kwa Mtibwa Hatukushangilia Kutoka Sare, Bali Tulishangilia Kufungwa Goli...

Lakini Baada Ya Mchezo Tulihuzunika Kudrop Point Kwa Mtibwa kama Tulivyohuzunika Jana Kupoteza Points Kwa Timu Ndogo Kama Yanga....

Teh teh teeeeh., mkuu huwa napenda sana analysis zako hasa za Liverpool, huwa unajaribu kuwa mkweli, lakini hapa mkuu kwa Simbwa na Mtibwa hapa umechemka maana kumbukumbu yangu kama inaniserve vyema ile mechi baada ya Okwi kusawazisha mlishangilia hadi usiku wakati wa vilaji. So labda useme mlishangilia kusawazisha kama ambavyo Yanga wamefanya maana sioni kama walishangilia kudraw ila kusawazisha maana miaka yote kwenye draw yule anayesawazisha ndio huwa ndio anashangilia as if kashinda, sio simba wala yanga.
 
Hizo Billioni moja kina Hans Pope na Kaburu wamezitafuna sioni thamani ya hizo pesa kwa kikosi cha Simba.

Pia Yanga walitumia busara kuachia Niyozima aondoke hana thamani hiyo na angebaki angekosa namba.
Yanga walilamba dume kwa Ajib.
 
Tofautisha Kushangilia GOLI na Kushangilia DRAW...

Sisi Kwa Mtibwa Hatukushangilia Kutoka Sare, Bali Tulishangilia Kufunga Goli...

Lakini Baada Ya Mchezo Tulihuzunika Kudrop Point Kwa Mtibwa kama Tulivyohuzunika Jana Kupoteza Points Kwa Timu Ndogo Kama Yanga....
 
Kwa Mimi nilivoelewa hapo ni kwamba Yanga ilikuwa hatari zaidi cjui mtoa post umechambuaje
 
Nimeamini tatizo la mpira Wa Tanzania siyo wachezaji wabovu ni mashabiki wabovu. MTU kamwelezea mchezaji man of the match, lakini soma comments za upande Wa pili !! Na kama man of the match angekuwa Wa Simba ungeona comments za Yanga!!
 
Kwahiyo Vile Munapomdiscuss Niyonzima Kuwa Tokea Aje Simba Hana Goli Huwa Hamujui Kama Kazi Ya Midfield ni Kuunganisha Timu na si Lazima Kufunga au?
Mutafikiri Kwa Kutumia Makalio mpaka lini????
Midfield namba nane anapokosa assist hadi mechi ya nane inastua na kutisha ndugu.
 
Ni nyang'au tu ndo atabisha... jamaa kapiga kazi sana..
Weka takwimu sake hapa. Kapiga pasi ngapi za uhakika? Kaaintercept Paso ngapi? Kafunga goli ngapi? Kafanya tackles ngapi? Kina Xavi walikuwa wanapiga pasi 850 kwenye mechi 1 na wanakimbia hadi kilometa 20 ndani ya mechi 1 usiniambie tshimbi wenu kapiga pasi 15 tu na ametembea mita 3000 tu kwenye hii mechi. Tuache ukanjanja
Atajwa kuwa ni nyota wa mchezo

c704d485ff119b632114a42a2797e029.jpg

d7dbd0c03a7a1e2b56b5367c28671502.jpg
 
Tofautisha Kushangilia GOLI na Kushangilia DRAW...

Sisi Kwa Mtibwa Hatukushangilia Kutoka Sare, Bali Tulishangilia Kufunga Goli...

Lakini Baada Ya Mchezo Tulihuzunika Kudrop Point Kwa Mtibwa kama Tulivyohuzunika Jana Kupoteza Points Kwa Timu Ndogo Kama Yanga....
Ulianza vizuri na ukaonekana uko serious, ila ulivyomalizia na hiyo mistari minne ya mwisho umeonekana unafanya utani.
 
Back
Top Bottom