Man saves god from drowning

Man saves god from drowning

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
IMG_20201209_101418_095.JPG
IMG_20201209_101418_095.JPG
 
Aliyechonga hilo sanamu ni kama aliwaza kua kuna siku huyu mungu atahitaji kubebwa so acha nimtanue miguu kidogo.

Now I think the sculptor should be god in the scenario
At least the blue God will thank you with a wave
 
Sijui dhana ya kuabudu ilianzaje!!!
 
Wanasema ni matokeo ya binadamu kuogopa kufa.
Hii inatuonesha kua watu wana huruma kuliko hata huyu mungu mwenyewe

Imagine mungu aliua maelfu kwa mafuriko bila huruma lakini leo hii watu wamekuja kumuokoa na kumuonesha namna utu ulivyo
 
You will cross the sea only using your faith
 
Wanasema ni matokeo ya binadamu kuogopa kufa.
Matokeo ya binadamu kukosa majibu ya maswali alioyafikiria. Kwa uelewa mdogo alikuwa nao, kila akishindwa kupata jibu anamtupia alie hisi yuajua yote.
 
Back
Top Bottom