Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema ni matokeo ya binadamu kuogopa kufa.Sijui dhana ya kuabudu ilianzaje!!!
Hii inatuonesha kua watu wana huruma kuliko hata huyu mungu mwenyeweWanasema ni matokeo ya binadamu kuogopa kufa.
Matokeo ya binadamu kukosa majibu ya maswali alioyafikiria. Kwa uelewa mdogo alikuwa nao, kila akishindwa kupata jibu anamtupia alie hisi yuajua yote.Wanasema ni matokeo ya binadamu kuogopa kufa.