05CUBA JF-Expert Member Joined Apr 12, 2025 Posts 1,106 Reaction score 1,650 Apr 17, 2025 #1 Seriously ... Tusaidiane kujua aina ya red flags mlizowahi kutana nazo wakulungwa kwa upande wenu na mkazichukulia hatua .... Hata wanawake mnaruhusiwa kutoa red flags zenu zilizowakimbiza kwenye baadhi ya Mahusiano.
Seriously ... Tusaidiane kujua aina ya red flags mlizowahi kutana nazo wakulungwa kwa upande wenu na mkazichukulia hatua .... Hata wanawake mnaruhusiwa kutoa red flags zenu zilizowakimbiza kwenye baadhi ya Mahusiano.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,954 Reaction score 80,256 Apr 17, 2025 #2 Binadamu yeyote asiyejishughulisha na shughuli yoyote. Kimbia mpwa. Hata urafiki hafai...
Brain Kingdom JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 7,002 Reaction score 14,570 Apr 17, 2025 #3 Mkikutana anageuza simu juu chini chini juu, akipokea simu anapunguza sana sauti, simu zake swali ni uko wapi badala ya kukujua hali na kueleza kusudio kisha aulize convenience
Mkikutana anageuza simu juu chini chini juu, akipokea simu anapunguza sana sauti, simu zake swali ni uko wapi badala ya kukujua hali na kueleza kusudio kisha aulize convenience
05CUBA JF-Expert Member Joined Apr 12, 2025 Posts 1,106 Reaction score 1,650 Apr 17, 2025 Thread starter #4 Ah. Kuna Binti mzuri sana nilikua naye nikiwa chuo 2016... Alimtukana baba yake kwa maneno makili sana... nikaona si sawa nikala kona..
Ah. Kuna Binti mzuri sana nilikua naye nikiwa chuo 2016... Alimtukana baba yake kwa maneno makili sana... nikaona si sawa nikala kona..
B Bolotoba JF-Expert Member Joined Apr 24, 2024 Posts 4,545 Reaction score 10,426 Apr 17, 2025 #5 Alikua na komwe kubwa kama gari Za zamani ๐nikayeya
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Apr 17, 2025 #6 Nilimwambia nilimuona akienda gest, akaanza kuniomba msamaha ๐
05CUBA JF-Expert Member Joined Apr 12, 2025 Posts 1,106 Reaction score 1,650 Apr 17, 2025 Thread starter #7 Mbaga Jr said: Nilimwambia nilimuona akienda gest, akaanza kuniomba msamaha ๐ Click to expand... Wewe inabidi tuchange mchango hapa JF tukupeleke Cuba ukaongeze elim . ๐๐
Mbaga Jr said: Nilimwambia nilimuona akienda gest, akaanza kuniomba msamaha ๐ Click to expand... Wewe inabidi tuchange mchango hapa JF tukupeleke Cuba ukaongeze elim . ๐๐