Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unajitekenya na kucheka mwenyeweMkuu kizzy,hebu tuambie uzoefu wako,una muda gani unajishughurisha hivyo kimataifa?
Mkuu tumia logic ndogo tu,hiyo Cardiff city imeonyesha upinzani gani msimu huu? Baadaye msimkatae oleOle Solskjer,ameleta furaha kubwa na ari ya ajabu,ushindi wa bao 5 nisalam tosha kwa Jose,kwa walimchoka
Hakiyani hata Liverpool wana bahati. Tungecheza nao jana tukiwa chini ya Ole nadhani tungewapiga nyingi. Bahati yao sana na wamshukuru Mungu wao.Mkuu tumia logic ndogo tu,hiyo Cardiff city imeonyesha upinzani gani msimu huu? Baadaye msimkatae ole