Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu Habari zenu?
Mechi ya kesho ya Man U vs Southampton iko wazi kabisa Manyumbu wanakufa pale OT 2(mbili) bila.
Mashabiki wa Manyumbu kwa akili zao wanajua watashinda hiyo mechi kwa ambao tunafatilia mpira huu kwa ukaribu kesho Manyumbu mapema kabisa wanakufa bila ya ubishi maana hawana uwezo wa kumfunga the saint pale OT. Southampton wako vizuri sana mechi za ugenini kuliko nyumbani.
Haya ni baadhi tu ya matokeo ya Southampton msimu huu wa 2019/20202 kwenye epl
Mashabiki wa Chelsea wamekuwa na wasiwasi Man U akishinda hiyo mechi anaingia top 4,kuingia top 4 labda azifunge timu zingine sio mechi hiyo na Southampton.southampton wako njema sana.
Mashabiki wa Manyumbu mtabisha sana lakini Baada ya mechi na Southampton msikimbie mje hapa.baada ya mechi mataona aibu na kuanza kulaumu kocha na wachezaji,na wakati kiuhalisia hamna uwezo wa kumfunga Southampton nyumbani kwenu.