Man U anafungwa na Southampton kesho, mechi iko wazi Southampton anachukua point tatu mapema

Man U anafungwa na Southampton kesho, mechi iko wazi Southampton anachukua point tatu mapema

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu Habari zenu?

Mechi ya kesho ya Man U vs Southampton iko wazi kabisa Manyumbu wanakufa pale OT 2(mbili) bila.

Mashabiki wa Manyumbu kwa akili zao wanajua watashinda hiyo mechi kwa ambao tunafatilia mpira huu kwa ukaribu kesho Manyumbu mapema kabisa wanakufa bila ya ubishi maana hawana uwezo wa kumfunga the saint pale OT. Southampton wako vizuri sana mechi za ugenini kuliko nyumbani.

Haya ni baadhi tu ya matokeo ya Southampton msimu huu wa 2019/20202 kwenye epl

IMG_8404.jpg

IMG_8403.jpg

IMG_8402.jpg

IMG_8401.jpg

IMG_8400.jpg

Mashabiki wa Chelsea wamekuwa na wasiwasi Man U akishinda hiyo mechi anaingia top 4,kuingia top 4 labda azifunge timu zingine sio mechi hiyo na Southampton.southampton wako njema sana.

Mashabiki wa Manyumbu mtabisha sana lakini Baada ya mechi na Southampton msikimbie mje hapa.baada ya mechi mataona aibu na kuanza kulaumu kocha na wachezaji,na wakati kiuhalisia hamna uwezo wa kumfunga Southampton nyumbani kwenu.
 
Tuliza jazba.

Meza itapinduka tu. Huoni Chelsea alikuwa anatusumbua back then now ni vipigo nje ndani.

Na nyie mnaopenda kuongelea magoli ni vizuri muongelee build up ya goli nani anaponyokwa.

Kwa sasa united tuko vizuri acheni hizo. Yale yale ya Newcastle.
 
Mkuuu alicho wafanya shelfied jana kimewafanya mhamie soton...

Poleni umbwa wa chelsea
 
Saw tumekusikia Jana pia si mlisema Sheffield United anakaa tukanyamaza time will tell
 
Tuliza jazba.

Meza itapinduka tu. Huoni Chelsea alikuwa anatusumbua back then now ni vipigo nje ndani.

Na nyie mnaopenda kuongelea magoli ni vizuri muongelee build up ya goli nani anaponyokwa.

Kwa sasa united tuko vizuri acheni hizo. Yale yale ya Newcastle.

Vp leo mbona mmepoteana? Mmeshindwa kwenda kwenye top 4.
 
Ha ha ha mkuu!!tatu mzuka,,,
Man u on fire now...no one can stop them

Kama mko on fire vipi mbona mmeshindwa kuingia top 4 leo.

Uwezo wenu mdogo sana na wachezaji wenu wamechoka tayari.
 
Back
Top Bottom