Man U anafungwa na Southampton kesho, mechi iko wazi Southampton anachukua point tatu mapema

Saw tumekusikia Jana pia si mlisema Sheffield United anakaa tukanyamaza time will tell

Mmeshindwa kuwafunga southampton japo nilikuwa nyumbani,uwezo wenu mdogo sana,muda ndio umetuambia hivyo. Sasa mmebaki kwenye nafasi yenu pendwa ya 5[emoji3].
 
Kama mko on fire vipi mbona mmeshindwa kuingia top 4 leo.

Uwezo wenu mdogo sana na wachezaji wenu wamechoka tayari.
Match ina matokeo matatu mkuu,,,kushinda,kufungwa na draw.. So ni kawaida mkuu..
 
Match ina matokeo matatu mkuu,,,kushinda,kufungwa na draw.. So ni kawaida mkuu..

Mkuu kuna mechi unajua Kabisa hii mechi ni matokeo 2 tu kufungwa na draw sio kushinda.
 
Halafu ninyi man u mliposikua city wameshinda rufaa yao mkaanza kushangilia na kuizodoa Chelsea mkuamini mtashinda match zote.

Ila mjue bado kuna crystal palace siyo timu rahisi kama mnavyodhani.Wakati huo huo Leicester city wanawasubiri.Vyovyote itakavyokuwa bado Chelsea ana faida.

Mnazungumzia match yake na Liverpool lakini hamjui kuwa Liverpool sio tishio kwa Chelsea kama inavyowatisha ninyi.Hapo wolves ndio kuna shida kidogo.
Match ina matokeo matatu mkuu,,,kushinda,kufungwa na draw.. So ni kawaida mkuu..
 
Hakuna wa kuizuia Man U isitinge ndani ya tatu Bora msimu uu. Zilizobaki ni porojo tu.
 
Hakuna wa kuizuia Man U isitinge ndani ya tatu Bora msimu uu. Zilizobaki ni porojo tu.

Vipi mbona mmeshindwa kuwafunga Southampton?

Kelele nyingi kumbe uwezo mdogo.
 
Ukiangalia kwa makini,,, man u bado ana nafasi nzr ya kutinga 4 bora,,mechi ngumu kwetu ni west Ham.. Na sio leceister city,, au crystal palace na tofauti ya point ni moja tu kuifikia Chelsea..
Wakati Chelsea ana mechi na Norwich,Liverpool na Wolverhampton.. So bado Chelsea ana nafasi ya kushindwa mechi zake 2 kati ya hizo..man u top 4 ni lazima
 
Man U awe na uwezo mdogo au mkubwa Ila msimu huu atamaliza nafasi ya tatu ni swala la muda tu. Msimu ujao anaweza kuwa bingwa au nafasi yapili. Msimu unafuata baada ya ujao Man U atakuja kuwa bingwa mfululizo kwa miaka ya kutosha, mpira unachezwa uwanjani kilakitu Kiko wazi kabisa. Hatimaye Man U wameamza kurudi katika Enzi za Ubingwa.
 

Mechi nyingi mpo ugenini mechi ambayo ambayo ngumu uko nyumbani ,ambayo hiyo mechi unasema hauna uhakika nayo.

Chelsea mechi na Liverpool lazima apoteze maana yupo ugenini hapo anfield Liverpool ajafungwa kwenye ligi anamwaka wa 3 sasa.

Chelsea Mechi na wolves na norwich ,chelsea yupo nyumbani anawezakushinda.
 
Hyo Chelsea ni Mara ngapi wahuni wamevunja daraja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…