MAN U kama wamemwaga moto; Timu hii haina tofauti na UTOPOLO mbwembwe nyingi with no focus

MAN U kama wamemwaga moto; Timu hii haina tofauti na UTOPOLO mbwembwe nyingi with no focus

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,126
Reaction score
849
Hii Timu 1st Game imemwaga moto tayari. Ogopa sana kuwa fan wa hii timu at the same time upo kwa Utopolo mbwembwe nyingi vitendo "0"​
 
Majukumu mazito kabisa wa mzazi yoyote hapa Tanzania ni kumzuia mtoto wake kwa hali na mali kuwa shabiki wa Man U (nyumbu fc).
 
Wamejitahidi sana ,ila yule Forwad wa Arsenal ni mzito na hakuna kitu kabisa
 
Back
Top Bottom