Man u Wanarudisha raha

Watatulia tu chini ya"" the special one"
Na iwe hivyo.....tumenyanyasika sana majina. majina tumepewa sana, ilifikia sehemu tunaitwa wa darasa la 7 kisa nafasi ya 7 kwenye ligi imetuganda muda mrefu sana.......khaaaa!

Tukafurukuta kidogo hadi ya 4 nako tukaganda sana pale.....tukapewa majina tena darasa la 4 ukweli tumenyanyasika kimwili na kiroho
 
Haaaaah yan last season nilikuwa tukifungwa nazima simu mpaka kesho!!
Duuuuuu ilikuwa noma sana.....maadui waliongezeka maradufu hata jana Vardy alipotaka kuharibu sherehe yetu niliona lundo la makelele ya furaha....nikanyong'onyea lkn dakika ya 83 Mungu akatuona kupitia kwa super Ibra! Ahsante Mungu!
 
Futeni machozi sasa,mmelia sana.
Kama namuona Mdakuzi huko alipo!
Acha tu....sisi sio wa kwenda 3 years kikombe tunaona wakipeana wenyewe tu kwenye tv. Lkn tumerudi tena kuendeleza ubaya wetu maana hakika wanatujua namna tulivyo rough and rude kwenye game.....Amen
 
Duuuuuu ilikuwa noma sana.....maadui waliongezeka maradufu hata jana Vardy alipotaka kuharibu sherehe yetu niliona lundo la makelele ya furaha....nikanyong'onyea lkn dakika ya 83 Mungu akatuona kupitia kwa super Ibra! Ahsante Mungu!
Muhimu huu naona nikinenepa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…