technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watatulia tu chini ya"" the special one"Ahsante mou sasa mtaani tuna amani.
Na iwe hivyo.....tumenyanyasika sana majina. majina tumepewa sana, ilifikia sehemu tunaitwa wa darasa la 7 kisa nafasi ya 7 kwenye ligi imetuganda muda mrefu sana.......khaaaa!Watatulia tu chini ya"" the special one"
Duuuuuu ilikuwa noma sana.....maadui waliongezeka maradufu hata jana Vardy alipotaka kuharibu sherehe yetu niliona lundo la makelele ya furaha....nikanyong'onyea lkn dakika ya 83 Mungu akatuona kupitia kwa super Ibra! Ahsante Mungu!Haaaaah yan last season nilikuwa tukifungwa nazima simu mpaka kesho!!
Acha tu....sisi sio wa kwenda 3 years kikombe tunaona wakipeana wenyewe tu kwenye tv. Lkn tumerudi tena kuendeleza ubaya wetu maana hakika wanatujua namna tulivyo rough and rude kwenye game.....AmenFuteni machozi sasa,mmelia sana.
Kama namuona Mdakuzi huko alipo!
Muhimu huu naona nikinenepa!!Duuuuuu ilikuwa noma sana.....maadui waliongezeka maradufu hata jana Vardy alipotaka kuharibu sherehe yetu niliona lundo la makelele ya furaha....nikanyong'onyea lkn dakika ya 83 Mungu akatuona kupitia kwa super Ibra! Ahsante Mungu!
Na unenepe mkuu maana ulikonda sana hasa kutokana na makelele ya jiraniMuhimu huu naona nikinenepa!!