Man u & Yanga special thread

Man u & Yanga special thread

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Nyama za uzi zitakuja baadae,

Ila kama wew ni shabiki wa Yanga kikwetukwetu na ni Red Devil kule kwa mamtoni onesha uwepo wako na kwa namna gani kama siku ya leo ulivyofurahi.
 
Nyama za uzi zitakuja baadae

Ila kama wew ni shabiki wa Yanga kikwetukwetu na ni red devil kule kwa mamtoni onesha uwepo wako na kwa namna gani kama siku ya leo ulivyofurahi
Atalanta na union berling wamechana mkeka lakini machungu yamepoozwa na yanga na man u... nimefurahi sana leo ningekua na hela ningejitoa out kidogo nikamwagilie moyo. Embu ajitokeze mdhamini aniwezeshe kidogo mpesa ndugu zanguni
 
Same here, tangu nimetoka home saa kumi na nusu niko bar nasuuza nafsi na team zangu leo ni mwendo wa tatu. Whaaat a day.
 
Wapi sasa leo kuosha uchinjo [emoji16][emoji16]
Dah Nina dozi nimeanza Leo ya gono..mchana power safe jioni hii doxyline so naogopa kukata Niko sober kwa Mara ya kwanza toka mwaka uanze ajabu sana
 
[emoji520][emoji520][emoji520][emoji519][emoji519][emoji519] hiyo nyekundu ni kwa ajili ya man utd wengine mkafie mbellleeee
 
Back
Top Bottom