Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atalanta na union berling wamechana mkeka lakini machungu yamepoozwa na yanga na man u... nimefurahi sana leo ningekua na hela ningejitoa out kidogo nikamwagilie moyo. Embu ajitokeze mdhamini aniwezeshe kidogo mpesa ndugu zanguniNyama za uzi zitakuja baadae
Ila kama wew ni shabiki wa Yanga kikwetukwetu na ni red devil kule kwa mamtoni onesha uwepo wako na kwa namna gani kama siku ya leo ulivyofurahi
Dah Nina dozi nimeanza Leo ya gono..mchana power safe jioni hii doxyline so naogopa kukata Niko sober kwa Mara ya kwanza toka mwaka uanze ajabu sanaWapi sasa leo kuosha uchinjo [emoji16][emoji16]