Man United kuongeza ulinzi Uwanja wa Old Trafford ili kudhibiti wanaowapinga wamiliki wa klabu

Man United kuongeza ulinzi Uwanja wa Old Trafford ili kudhibiti wanaowapinga wamiliki wa klabu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Uongozi wa Manchester United unatarajia kuongeza ulinzi katika mchezo ujao dhidi ya Copenhagen katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Old Trafford ili kudhibiti mashabiki wanaodaiwa kujipanga kufanya vurugu.

Inadaiwa kuna kundi la mashabiki linalopanga kuonesha hisia za kuchukizwa na uamuzi wa Familia ya Glazer kutoiuza klabu hiyo wakiamini uwekezaji wao haunufaishi timu bali unawabeba wao wawekezaji binafsi.

Baada ya mchakato wa muda mrefu wa kutangaza kutaka kuuza hisa zao, Glazers wataendelea kuwa wamiliki wenye hisa nyingi licha ya Mfanyabiashara Sir Jim Ratcliffe kutarajiwa kupata Hisa 25% za umiliki.

======

Manchester United will step up security at Old Trafford for their next home match - with fears Champions League clash against Copenhagen could spark mass fan outrage at Glazer family staying as majority club owners.

Security will be stepped up at Manchester United's next home match following concerns over fan reaction to the Glazer family staying at the club.

After a long-running saga, Sir Jim Ratcliffe is now expected to take a 25 per cent stake in United, with his proposal likely to be ratified at a board meeting later this week.

While being viewed as a staged takeover, which would give Ratcliffe's group control over football operations, the deal would mean that the deeply unpopular Americans would remain for now. Such a scenario may trigger outrage when Copenhagen visit Old Trafford next Tuesday in the Champions League, among a fanbase that has already staged protests calling for a full sale only.

United face Manchester City at home the following Saturday and there has already been talk among fan groups of a potential boycott or walkout.

On Saturday, Qatari Sheik Jassim bin Hamad Al Thani pulled out of a process which began last November. His group had offered to buy 100 per cent of the club and invest heavily on players and infrastructure.

Police say they will be working closely with the club. Chief Superintendent Collette Rose explained: "Greater Manchester Police (GMP) will be assisting Manchester United outside Old Trafford during the match with Copenhagen.

"Officers will be highly visible to maintain safety, while facilitating the right to peaceful protest."

Source: DailyMail
 
Back
Top Bottom