Man United mambo magumu EPL, yapigwa tena 4-0 Agosti 13, 2022

Man United mambo magumu EPL, yapigwa tena 4-0 Agosti 13, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Manchester United, ndivyo ilivyo kwa kocha mpya wa timu hiyo, Erik ten Hag, ni baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 dhidi ya Brentford, leo Agosti 13, 2022.

Huo unakuwa ni mchezo wa pili mfululizo kwa timu hiyo kupoteza katika Premier League msimu huu, ambapo hali ilikuwa mbaya zaidi kipindi cha kwanza ambapo hadi kinakamilika #ManUnited ilikuwa nyuma kwa magoli 4-0.

Licha ya kuanza na Cristiano Ronaldo kama mshambuliaji wa katik, bado safu ya ushambuliaji ya United imeshindwa kufunga bao tangu kuanza kwa Premier.
 
Back
Top Bottom