Well said na hilo ndo lilikua tatizo kubwa la mourinho na especially kwenye mechi kubwa.Watatoboa. Wana players wazuri tu. Tatizo la mourinho ilikuwa kufocus on strenghs of other teams na kujaribu kuwazuia tuuu bila kujaribu kutumia vipaji alivyonavyi kuwadhuru wapinzani. I think Ole yeye kafocus kwenye team yake kushambulia huku akibalance na ulinzi
Hao PSG wapesi sana sema ukiingia kwa kuogopa majina unakula za uso