mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Tuna imani na morinyoHakuna sababu yoyte ya maana kwa nini kikosi ni duni. Kocha anamchango mkubwa kea kufanya vibaya, kucheza chini ya kiwango. Nawaona wachezaji hawana presha. Sioni sababu kwa nn Pogba anacheza kijinga hivyo
Ni sawa na Siasa tabia ya kocha ndio hivyohivyo timu ilivyo haifanyi Vema.
Nawaelewa wazumgu wakisema boss was ndio tatizo.... mkurugenz alivyoifanya timu Kama genge lake. Anatukwaza Sana. Morinho hafai hafai ondoa
Hopeless material kweli weye!Mourinho aende WAPI?Kwani weye ni mmliki wa hisa kiasi gani?Kafie mbele kuleeeeee![/QUOTE
Umeacha kutafuna bangi siku hizi?#'Hujui chochote'
#'Mwandiko wako unaonyesha'x3
#'Hujui kocha ni Nini'
#'Mkurugenz ni Nini'
#'Mmiliki ni Nini'
#'Board Ni Nini'x3
#''Hujui maana Sikuambii maana'x3