Man United. Nikisema morinho aondoke tu watu mnabisha

Man United. Nikisema morinho aondoke tu watu mnabisha

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
724
Reaction score
625
Hakuna sababu yoyte ya maana kwa nini kikosi ni duni. Kocha anamchango mkubwa kea kufanya vibaya, kucheza chini ya kiwango. Nawaona wachezaji hawana presha. Sioni sababu kwa nn Pogba anacheza kijinga hivyo

Ni sawa na Siasa tabia ya kocha ndio hivyohivyo timu ilivyo haifanyi Vema.

Nawaelewa wazumgu wakisema boss was ndio tatizo.... mkurugenz alivyoifanya timu Kama genge lake. Anatukwaza Sana. Morinho hafai hafai ondoa
 
Juve wenyewe walianza waoga, timu wachezaji hawakabi hawakimbii na mpira kwenda mbele. Wenzao wanaenda na kurudi wote kudefend
 
Subiri mpira uishe kwanza, tutakuja kujadili vizur
 
Kwani nini mbaya...ati simlisema ni bonge la kocha
 
1541627560420.png
 
Hakuna sababu yoyte ya maana kwa nini kikosi ni duni. Kocha anamchango mkubwa kea kufanya vibaya, kucheza chini ya kiwango. Nawaona wachezaji hawana presha. Sioni sababu kwa nn Pogba anacheza kijinga hivyo

Ni sawa na Siasa tabia ya kocha ndio hivyohivyo timu ilivyo haifanyi Vema.

Nawaelewa wazumgu wakisema boss was ndio tatizo.... mkurugenz alivyoifanya timu Kama genge lake. Anatukwaza Sana. Morinho hafai hafai ondoa
Tuna imani na morinyo
 
Hopeless material kweli weye!Mourinho aende WAPI?Kwani weye ni mmliki wa hisa kiasi gani?Kafie mbele kuleeeeee!
 
#'Hujui chochote'
#'Mwandiko wako unaonyesha'x3
#'Hujui kocha ni Nini'
#'Mkurugenz ni Nini'
#'Mmiliki ni Nini'
#'Board Ni Nini'x3
#''Hujui maana Sikuambii maana'x3

Hopeless material kweli weye!Mourinho aende WAPI?Kwani weye ni mmliki wa hisa kiasi gani?Kafie mbele kuleeeeee![/QUOTE
 
Back
Top Bottom