Man United vs Liverpool... March 21, 2010

Man United vs Liverpool... March 21, 2010

Huyu refa sasa anataka kuharibu mpira yellow card kwa Torres!
Liverpool players need to calm down, naona kama huu mchezo utakua mbaya sana kutokana na poor men management

...Bwawa la maini wasipoangalia, Red card inanukia! Harold Webb leo kaamua kuweka unazi wake hadharani!

Tensions kama hizi halafu hamna hata mchezaji mmoja wa Manure alonyoshewa japo kidole?
 
Nyie mambo bado masaa machache tu usitie hofu ila bosi wa Blackburn ni rafiki wa fergi.

2taufunga mdomo wako; bila shaka hasa baada ya kupata kichapo kutoka kwa luzaful nac tukimpiga huyu rafiki wa fergi!!!
 
acheni unazi...dont be one-eyed supporters
 
Manure mmezidi kubebwa bana kwani wewe huangalii huu mpira?
 
...Bwawa la maini wasipoangalia, Red card inanukia! Harold Webb leo kaamua kuweka unazi wake hadharani!

Tensions kama hizi halafu hamna hata mchezaji mmoja wa Manure alonyoshewa japo kidole?
mkuu ni kweli kabisa... hali si hali aisee
 
2taufunga mdomo wako; bila shaka hasa baada ya kupata kichapo kutoka kwa luzaful nac tukimpiga huyu rafiki wa fergi!!!

Aljunior Tz, ulipotelea wapi bana? Tuliku miss sana 'msibani' kule. Mourinho kathibitisha msemo, 'kikulacho,...!' 😀
I hope rafiki wa Fergie atatusaidia kujengea kaburi leo!
 
shit again... 2-1 congrats manure
 
Manure mmezidi kubebwa bana kwani wewe huangalii huu mpira?

...eti bana? hata angekuwa anasikiliza redioni watangazaji wanalalama!

aaah, ona sasa mmebebwaa mpaka mnapata goli jingine
 
shit again... 2-1 congrats manure

...hawastahili Congrats bana,
unawapongeza kwa lipi jema walilofanya? FA wawe wakali bana, it' not fair timu pinzani ichezeshe wachezaji 11, Manure ichezeshe 13 (i.e incl Referee na Linesmen wake!) 🙂

Anyway, hata body language ya Wachezaji wa Liverpool inajionyesha mshakubali matokeo.
 
you will be surprised.. anaweza asiingie babbel wala yossi, rafa has his way of screwing up
 
Mpira ni mkali na unavutia kuangalia ,lakini kutabiri mshindi wa leo dah
 
Mashabiki wa Manure wako wapi chacha ... .... ... Rooney leo is a shadow of himself hata Gerald hayuko kwenye form yake, na almanusura ngumi ziamke mbele ya refa. mpira ndio kwisha chacha tusubiri mambo ya Chelsicki na Blackburn.
 
i am hopping rafa will make some changes, coz i really dont know what lucas is doing in that field
 
inama benitez karidhika na matokeo au ni kwamba hana plan b ya kutafuta ushindi au ni kwamba haoni body language ya wachezaji wake kwamba wameshakubali matokeo?
 
i am hopping rafa will make some changes, coz i really dont know what lucas is doing in that field
babel na benayoun hawa ndio wachezaji na waogopa liverpool plus torres.babel na benayoun ni wazuri sana kwenye kushambulia wanajua kuhold mpira.
 
Mpira ni mkali na unavutia kuangalia ,lakini kutabiri mshindi wa leo dah
timu yako si man united lool au unajificha kwanza mpaka dakika 90 ili ushangilie vizuri?

naona hukutaka kujipa moyo kwenye comment yako umeitoa kwa makini lol.
 
game ngumu kwa liver - torres hapati mipira mingi - let us see these remaining 10 minutes

naona faggie kaamua kuingiza wazee wa dawa - giggs na scholes -mchina hongera
 
Back
Top Bottom