Man United yamsaliti Mason Greenwood

Refer kwa
BENZEMA
RONALDO

kwa nn wao hali ilikuwa shwari ila dogo wanamng'ang'ania hawana lolote wale jamaa walihonga sana hela yasiwakute kama haya.
 
Hizi cult kubwa kubwa zikikuhitaji ukagoma hua unakipata cha moto
 
Greenwood akirudi basi avunje tu mkataba na nike na manchester utd,aende adidas labda na timu nyngine,asicheze tena Man utd.Man utd chama langu lakini kwa hili tumeonesha unafiki mkubwa sana kwa mchezaji wetu.
 
Kama janja akichomoka asirudi tena hapo kwenye hilo li team kwanza linaanza kujifia tangu wamelete Mr mapenalt anajifanya much know..
 
Ulaya sio kama bongo Mzee , bongo ushikaj mwingi na kuoneana huruma ,
 
Mbususu zilivyokuwa za kumwaga na tena ukuwa na pesa ndio unagombaniwa jamaa kama kafanya huo mchezo namuona mjinga sana ukiwa na pesa dem usimlazimishe kukuvulia chpi akiringa mwache aende leta chuma kipya
 
Mbona akina Terry walifanya ngono lakini haikuwa nongwa, Wanawake wa kizungu wanauhuru uliopitiliza na wanazarau ngozi nyeusi wanaenda kuuchuna pesa tu
Au mchizi Giggs[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijaelewa yaani huyo demu alipanga kurekodi hilo tukio?

Kwa jinsi ulivyosimulia ni kana kwamba tukio zima limerekodiwa.

Hebu nifungue macho. Mi nimeona tu demu akilia Insta kuwa Greenwood kamfanyia harassment.
 
Sijaelewa yaani huyo demu alipanga kurekodi hilo tukio?

Kwa jinsi ulivyosimulia ni kana kwamba tukio zima limerekodiwa.

Hebu nifungue macho. Mi nimeona tu demu akilia Insta kuwa Greenwood kamfanyia harassment.
Yea kuna sauti imerekodiwa.

Feminists wanasema kitendo cha kurekodi kinamaanisha jamii yetu mtu akiwa maarufu ni ngumu watu kuamini ana matendo maovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…