Man Utd haitochukua taji lolote Msimu huu wa 2017/18

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Kombe pekee walilokuwa wana nafasi ya kushinda ni lile la Carabao Cup ambalo wameondoshwa jana baada ya kufungwa 2-1 na Bristol City ya daraja la kwanza.

Hivyo amebaki kwenye Michuano ya Ligi ambapo yupo nyuma ya point 11 dhidi ya vinara Man City, Kwenye Uefa Champions League hapa nisiwe mnafiki Man Utd hana kikosi cha kupambana na timu kubwa kwenye Uefa. Na michuano ya mwisho ni ya Kombe la F.A ambayo simpi nafasi ya kufanya vyema.

Hivyo msimu huu Man Utd watamaliza msimu bila kunyanyua makwapa licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa wa kutumia pesa nyingi katika usajili wa wachezaji kama Lindelof, Lukaku na Matic.

Poleni Man Utd wenzangu!
 
Akili za Arsenal mnazijua wenyewe..
 
Naweza kusema uingereza akatoka mtupu... Ila naamini UEFA atafanya maajabu baada ya kuona uingereza hana kitu kama msimu ulopita. Alitoa kafara top 4 ili achukua EUROPA na aingie UEFA kupitia njia hio
 
Kombe pekee walilokuwa wana nafasi ya kushinda ni lile la Carabao Cup ambalo wameondoshwa jana baada ya kufungwa 2-1 na Bristol City ya daraja la kwanza.

Hivyo amebaki kwenye Michuano ya Ligi ambapo yupo nyuma ya point 11 dhidi ya vinara Man City, Kwenye Uefa Champions League hapa nisiwe mnafiki Man Utd hana kikosi cha kupambana na timu kubwa kwenye Uefa. Na michuano ya mwisho ni ya Kombe la F.A ambayo simpi nafasi ya kufanya vyema.

Hivyo msimu huu Man Utd watamaliza msimu bila kunyanyua makwapa licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa wa kutumia pesa nyingi katika usajili wa wachezaji kama Lindelof, Lukaku na Matic.

Poleni Man Utd wenzangu!

Huwa nina enjoy sana hawa jamaa wakifungwa.
 
Back
Top Bottom