Man Utd haitochukua taji lolote Msimu huu wa 2017/18

Kombe pekee walilokuwa wana nafasi ya kushinda ni lile la Carabao Cup ambalo wameondoshwa jana baada ya kufungwa 2-1 na Bristol City ya daraja la kwanza.

Hivyo amebaki kwenye Michuano ya Ligi ambapo yupo nyuma ya point 11 dhidi ya vinara Man City, Kwenye Uefa Champions League hapa nisiwe mnafiki Man Utd hana kikosi cha kupambana na timu kubwa kwenye Uefa. Na michuano ya mwisho ni ya Kombe la F.A ambayo simpi nafasi ya kufanya vyema.

Hivyo msimu huu Man Utd watamaliza msimu bila kunyanyua makwapa licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa wa kutumia pesa nyingi katika usajili wa wachezaji kama Lindelof, Lukaku na Matic.

Poleni Man Utd wenzangu!
Akili za watu wa Arsenal nisawa na box lililo na kitu ndani
 
SASA ugomvi wetu sisi Man city unaamia kwa Chelsea maana ndo kashika nafasi ya pili, je tutaweza kelele zao humu? bora man u tulikuwa tunawamudu,
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kombe pekee walilokuwa wana nafasi ya kushinda ni lile la Carabao Cup ambalo wameondoshwa jana baada ya kufungwa 2-1 na Bristol City ya daraja la kwanza.

Hivyo amebaki kwenye Michuano ya Ligi ambapo yupo nyuma ya point 11 dhidi ya vinara Man City, Kwenye Uefa Champions League hapa nisiwe mnafiki Man Utd hana kikosi cha kupambana na timu kubwa kwenye Uefa. Na michuano ya mwisho ni ya Kombe la F.A ambayo simpi nafasi ya kufanya vyema.

Hivyo msimu huu Man Utd watamaliza msimu bila kunyanyua makwapa licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa wa kutumia pesa nyingi katika usajili wa wachezaji kama Lindelof, Lukaku na Matic.

Poleni Man Utd wenzangu!
utabiri wako unataka utimie
 
Mourhino naye kabaki mapicha picha tu ...kaisha mzee wa watu bora aje aisaidie simba kucheza mabingwa Afrika
 
Back
Top Bottom