Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kombe pekee walilokuwa wana nafasi ya kushinda ni lile la Carabao Cup ambalo wameondoshwa jana baada ya kufungwa 2-1 na Bristol City ya daraja la kwanza.
Hivyo amebaki kwenye Michuano ya Ligi ambapo yupo nyuma ya point 11 dhidi ya vinara Man City, Kwenye Uefa Champions League hapa nisiwe mnafiki Man Utd hana kikosi cha kupambana na timu kubwa kwenye Uefa. Na michuano ya mwisho ni ya Kombe la F.A ambayo simpi nafasi ya kufanya vyema.
Hivyo msimu huu Man Utd watamaliza msimu bila kunyanyua makwapa licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa wa kutumia pesa nyingi katika usajili wa wachezaji kama Lindelof, Lukaku na Matic.
Poleni Man Utd wenzangu!
pambana na timu yako ya rsenal..kwanza Man U anabeba UEFAMan united hakuna mzima
Man U inachukua World Cup 2018 Russia utabaki unashangaa imechukuaje.
Itakuwa maana sielewi nimeandika nini, Nimesema UEFA au WCSasa mi nadhani wewe umevurugwa na vyuma..
Labda UEFA ya mashoga
Unafungwa na Bristol city alfu upate UEFA?
ACHA UZWAZWA
Ha ha ha ha muwe mnajitambulisha kwanza nyie ni timu gani kabla hamjaongea carbondioxideMan U inachukua World Cup 2018 Russia utabaki unashangaa imechukuaje.
WC..Itakuwa maana sielewi nimeandika nini, Nimesema UEFA au WC
Mimi Taifa Stars [emoji92]Ha ha ha ha muwe mnajita. Bulisha kwanza nyie ni timu gani kabla hamjaongea carbondioxide
Anaweza kuchukua hata WC Morinho ni kichwa kingine kile.WC..
Hii iliyorudi juzi kama vibaka flani?!Mimi Taifa Stars [emoji92]
labda kama kulipambana na timu yako ya rsenal..kwanza Man U anabeba UEFA
Halafu makocha wengine ni "K"Labda morinho ni kichwa cha mb.o.o