Man Utd haitochukua taji lolote Msimu huu wa 2017/18

Hii timu kubwa huwezi kukuta chelsea,arsenal au liverpool zimefunguliwa thread hatar sana kimbe mnaumia
 

Sawa pweza..
 
Arsenal bana yaani mmekuwa wapenzi watazamaji na watabiri sasa
 
Kama Simba tu.
 
Ungekuja na analysis inayoeleza kitakachofanywa na timu yako ambayo sitaki kuitaja.
Pia, huwezi kuwa nafasi ya tatu au ya tano kwenye EPL halafu ukaiponda iliyo nafasi ya pili, otherwise utakuwa hata chandimu hukuwahi kucheza.
 
hii ndio shughuli wanaijua vizur sana wanamegeka tu walihamia Chelsea miaka ya 2005 wengine msimu huu wamehamia city Wenger anawanyoosha tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…