Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 582
Man U inachukua World Cup 2018 Russia utabaki unashangaa imechukuaje.
Kombe pekee walilokuwa wana nafasi ya kushinda ni lile la Carabao Cup ambalo wameondoshwa jana baada ya kufungwa 2-1 na Bristol City ya daraja la kwanza.
Hivyo amebaki kwenye Michuano ya Ligi ambapo yupo nyuma ya point 11 dhidi ya vinara Man City, Kwenye Uefa Champions League hapa nisiwe mnafiki Man Utd hana kikosi cha kupambana na timu kubwa kwenye Uefa. Na michuano ya mwisho ni ya Kombe la F.A ambayo simpi nafasi ya kufanya vyema.
Hivyo msimu huu Man Utd watamaliza msimu bila kunyanyua makwapa licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa wa kutumia pesa nyingi katika usajili wa wachezaji kama Lindelof, Lukaku na Matic.
Poleni Man Utd wenzangu!
Hahahahahaha inawezeknaSasa mi nadhani wewe umevurugwa na vyuma..
unakubali lipi?Leo nakukubali kwa huu uzi.
uzi unasemaje kwani?unakubali lipi?
haya bhanauzi unasemaje kwani?
we mbn umepaniki..Arsenal pambane na hali zenu
Round ya pili ni mechi zilizopit yView attachment 660285
Mission ilikuwa rahisi sana kwa Manchester United. Manchester United walitakiwa kushinda mechi zote (19) hii round ya pili na waombee Manchester City afungwe mechi 4 na draw 1. Maana walisema mechi walizopoteza ilikuwa na bahati mbaya. Manchester City kwenye mzunguko wa kwanza alikuwa amewaacha point 13. Leo mzunguko wa pili umeanza na Manchester United amepoteza point 2. Wamepoteza point 2 kwa team ambayo haina uzoefu wa kushinda hapo Trafford.
Tukiweka ushabiki pembeni kweli mnamatumaini la kuchukua Premier League title?.
Leo Manager wa Manchester United anasema mkwanja anaopata kununulia wachezaji ni mdogo kulinganisha na anaopewa mwenzake wa Manchester City.
Likuwa akilenga pale Manchester City walipotumia £52 million kumsajili left-back Benjamin Mendy kutoka AS Monaco. ilikuwa ni rekodi ya dunia kwa usajili wa beki. hapohapo Citizens walilipa £50 million kwa Kyle Walker kutoka Tottenham Hotspur.
Leo Manager kakubali matokeo anasema :
Jose Mourinho: Manchester United Spending 'Not Enough' to Match Manchester City
Jose Mourinho : "It is not enough—Manchester City are buying full-backs for the price of strikers."
Sijui wenzangu mnasemaje, maana walisema tusubiri January, sasa wewe December hii una dro mechi mbili. mmmmmh
Mechi Za tarehe 26,27 ni za Kumalizia round ya kwanzaView attachment 660285

anasema $ 300m hazitoshi usajili.wampe Mourinyo pesa za kutosha kununua mabeki wa kupaki basi
View attachment 660285

Mkuu una uhakika? Mechi ya kwanza man u na Burnley ilikuwaje tokeo? Man cty na Newcastle nayo ilikuwa ngapingapi?Hizi ni mechi za 2 za mzunguko wa pili
Mkuu zile mechi kabla ya tar 26 na leo 27 zilikuwa ni mechi za kwanza round ya pili ila hizi za jana na leo ni kukamilisha round ya kwanza, labda nikwambie kitu ambacho ukifahamu kwa ligi kuu ya uingereza kabla hujamaliza mechi ya mwisho ya round ya kwanza unacheza kwanza mechi ya round ya pili zen unarudi kumalizia mechi ya round ya kwanzaLeicter na man united umesahau mechi ya kunza mliwafunga
We kweli kilaza, leo man cty anacheza na Newcastle haya tuambie mechi ya kwanza matokeo yalikuwaje? Na man u na Burnley matokeo yalikuwaje?Uongo
We jamaa nimekwambia mechi ya man na Leicester ni mechi ya kwanza round ya pili ila mechi ya jana man u na Burnley ni mechi ya mwisho round ya kwanza, jaribu kuwa muelewa,soma post namba 65 utaelewaMan na leicter mwanzo umesahau walivyotoka?