mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,938
- 17,729
Acha kumzalilisha mzee wa watu, huko alipo amepumzika kwa amaniKutokana na elimu yangu ya unajimu niliyoachiwa na marehemu Sheikh Yahaya, Man Utd leo atashinda au atadroo.
Hivyo punguzeni matarajio ya kuwa atafungwa hasa nyie wadau wa mikeka.
Mechi itaamuliwa na mabeki zaidi na viungo kwa mbali.