Man utd na arsenal hazina tofauti zikikutana na wanaojua mpira

Arsenal kapigwa ngapi?!
3-1 nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muongo mkubwa jana kamla mtu 3
 
Man U kapigwa saba bila na Liver Dunia yote inalijua hilo.

Arsenal full charge anapiga watu kuanzia juu mpaka chini,Liver huyu nawasiwasi nae anaweza akabeba ubingwa dakika za majeruhi huyu.
Liver uwa ni wakorofi sana wakiamka huwa awakamatiki.

Liver hawezi beba ubingwa wa EPL, kimahesabu alishapoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…