Alexprosper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,286
- 6,110
- Thread starter
- #41
Amna timu apoInaonekana untd anafatiliwa sana, imagine mashabiki wa Chelsea, Arsenal na city wanashangilia kufungwa kwake, but all in all that's football.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amna timu apoInaonekana untd anafatiliwa sana, imagine mashabiki wa Chelsea, Arsenal na city wanashangilia kufungwa kwake, but all in all that's football.
Kombe kikombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua tulilewa sana previous week ,bado tunashangilia lile kombe
We will come back sstronger
#HeadsUp
Nimegundua man u huwa inachukiwa tu kiasili.Ndio maana kwao kuchukua kombe au kushinda na kushangilia kwa man u ni kero na kitu kisichokubalika kwa mashabiki wa timu zingine. HILI NI TATIZO.Wametulia
Mukubwa hata kama kakonda ni mukubwa tu, Ukubwa waa man U bado upo katika nafsi zote.WANAOIPENDA NA KUICHUKIA PIA.Amna timu apo
Kweli ni kama genious darasani, yaani anachukiwa2 bila sababu na wanafunzi wenzie kisa2 yeye anafaulu kuliko wenzieNimegundua man u huwa inachukiwa tu kiasili.Ndio maana kwao kuchukua kombe au kushinda na kushangilia kwa man u ni kero na kitu kisichokubalika kwa mashabiki wa timu zingine.HILI NI TATIZO.
HakikaKweli ni kama genious darasani, yaani anachukiwa2 bila sababu na wanafunzi wenzie kisa2 yeye anafaulu kuliko wenzie
Wajinga sna mkuu wanazani mpra wa simba na yangaWabongo kama kawaida, hawatakagi kufungwa, ukikosea unapasuliwa tu.
Yapo mengi sanaWajinga sna mkuu wanazani mpra wa simba na yanga
Ushabiki wa maji takaYapo mengi sana