Man utd na arsenal hazina tofauti zikikutana na wanaojua mpira

[emoji23][emoji23][emoji23]

Unajua tulilewa sana previous week ,bado tunashangilia lile kombe


We will come back sstronger

#HeadsUp
Kombe kikombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Man UTD kuna mzimu umewaganda ndo maana vipigo vya aibu hakosekana kwao.[emoji16]
 
Wametulia
Nimegundua man u huwa inachukiwa tu kiasili.Ndio maana kwao kuchukua kombe au kushinda na kushangilia kwa man u ni kero na kitu kisichokubalika kwa mashabiki wa timu zingine. HILI NI TATIZO.
 
Nimegundua man u huwa inachukiwa tu kiasili.Ndio maana kwao kuchukua kombe au kushinda na kushangilia kwa man u ni kero na kitu kisichokubalika kwa mashabiki wa timu zingine.HILI NI TATIZO.
Kweli ni kama genious darasani, yaani anachukiwa2 bila sababu na wanafunzi wenzie kisa2 yeye anafaulu kuliko wenzie
 
Ila wiki Ni nyingi. Sikujua hata walikua wanacheza Nini. Hadi mpira walikua wanauogopa.
 
Man u usimfananishe na Arsenal

Man u ni timu yenye mentality ya middle teams

Angalia hapo Stats Arsenal na mancity wanaongoza kuzishambulia Sana timu za Kati ,Cha ajabu man u na yeye yupo

Most touches in the opposition box by a team in a single Premier League game this season:

[emoji837] Arsenal vs Bournemouth - 78
[emoji837] Arsenal vs Man Utd - 64
[emoji838] Man City vs Brentford - 62
[emoji837] Arsenal vs Nottingham Forest - 59
[emoji838] Man City vs Southampton - 56


Ni vile bado Arsenal sio wakatili ndani ya box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…