Man utd tuongeze sauti au inatosha?

Mambo mengine huwa ni ya kujitakia tu. Mwaka 2014 tu hapo karibu (kwa waliosahau) Ole alifundisha Cardif City mpaka ikashuka daraja kabisa (relegated) na hii ilipaswa kuwa alarm bell kwa Man U's hierarchy. Hata kama alishinda mataji na team yake ya Molde huko Norway, music wa EPL ni habari nyingine.

Chelsea nako: Lampard nae huko Derby County alishika nafasi ya 6. Hata hiyo play-off aliingia kwa bahati na akashindwa kunavigate kuingiza team EPL. Kwa stature yua Chelsea, huyu alikuwa hafai. Hivi vipigo mfululizo ni stahiki yake.
 
Acha upumbafu hakuna shabiki wa Chelsea ambaye hamtaki rampard

Chelsea hatuna mashabiki mambumbumbu kama wewe

Tatizo la rampard ni nini mwendawazimu wewe unawachezaji gani pale Chelsea hadi umuone rampard hafai? Una kichaa
 
Chelsea wakimfukuza lampard watakua wamezingua kwa sababu zifuatazo..
Timu imezuiliwa kusafari wakati kuna wachezaji wa kikosi cha kwanza wameondoka ( hazard + Luiz )

Chelsea inacheza vizur na hata inapopoteza unaona kabisa tatizo ni nini ( tatizo ni defence na naamin combination ya rudiger + tomori itazaa matunda kwa muda eakisubir kusajiri beki wa kuja kuziba pengo la luiz )

Man u inafungwa haijulikani kosa ni nini..
Wachezaji hawana motivation kabisa kama vile wameokotwa tuu mtaani
Oles ataanza kufukuzwa akifwatiwa na unay then puchetino.. lampard atamaliza msimu na hata top four anaweza pata
 
Chelsea ulimsajili nani hadi umlaum rampard? Unawachezaji gani pale Chelsea japo wa kufika hata nusu ya washambuliaji wa Everton una mabeki gan pale ambao umesajili wenye uwezo wa kufika hata nusu ya mabeki wa Liverpool

Ivi nyie mnajua mpira kweli au nyie ni vichaa?
 
Wachezaji wa arsenal ndo kabisaa wamekata radha, yaani wanakimbia km wamebeba mawe mifukoni. Wazito km nn...pole mashabiki wa man u, arsenal, chelsea na baselona!
 
Una akili sana kwa mfumo huu wa rampard siku akisajili mabeki na washambuliaji hii Chelsea itakuwa moto wa kuotea mbali mkuu

Mashabiki wa woman united wanajifariji kwa makosa madogo madogo ya Chelsea

Na ninakwambia woman united asahau kabisa kuingia top ten

Lakin Chelsea top four lazima
 
Wachezaji wa arsenal ndo kabisaa wamekata radha, yaani wanakimbia km wamebeba mawe mifukoni. Wazito km nn...pole mashabiki wa man u, arsenal, chelsea na baselona!
Kwa shabiki yoyote wa Chelsea anaejua mpira lazima aliangalia match akiwa anajua kwamba ni ngumu sana kushinda, huwezi kuwazuia salah mane na firmino kwa defence ile,,
Chelsea haeajapata clean sheet hata moja msimu huu so ili kushinda lazima wahakikishe wanafunga magoal mengi, sasa mbele ya vvd na matip unategemeaje Abraham na mount hawafunge magoal mengi??
Nawapongeza Chelsea kwa presha waliyompa Liverpool second half..

naamini siku sio nyingi lampard ataifanya Chelsea kuwa zaid ya man city
 
Woman Utd...daaah Radika, Luke sam, Viatu vya samaki njooni huku huyu Jamaa amechomoa betrii akiwaita "Woman Utd"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
West Ham 2 man utd 0,ila kiufupi hawa makocha wa muda au wazawa huwa wanazingua sana, baada ya Lampard kutimuliwa Chelsea siku chache zijazo namuona Ole sendeka akifuata.
Kuna vimtu havijuagi mpira ni maneno na makelele ,mwaka jana wakati mwanitesq utd anashinda wakimsifu sana Ole Moleimet kwamba bonge la Zidane ,Klop Ama Gurdiola nikawaambia ni upepo tuu ukitulia mtamkataa.Sasa hivi kimya sisikii kelele mara ooh,mmasai ama mmang'ati.
 
Mleta mada acha upumbafu rampad hafukuzwi Chelsea hata kwa dawa wala kwa dakika moja

Huyo ni kocha wa kudumu pale Chelsea

Waulize Liverpool leo moto tuliowapelekea waishukuru VR
Kwa hiyo mkapata point ngapi? Unaniiumbusha wimbo fulani hivi,,Sifa za kiiiiii
 
Kajamaa ni kaajabu.
 
Uliingia upepo wa Gurdiola,Luis Henrique na baadaye Zidane Aka Zizzou wakakariri.
 
Mkuu kama imezuiliwa kusafiri wanafikaje viwanja vya ugenini?
 
Tulia mkuu msiwashtue ili waendelee kutupa pesa [emoji857][emoji857]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…