Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Mambo mengine huwa ni ya kujitakia tu. Mwaka 2014 tu hapo karibu (kwa waliosahau) Ole alifundisha Cardif City mpaka ikashuka daraja kabisa (relegated) na hii ilipaswa kuwa alarm bell kwa Man U's hierarchy. Hata kama alishinda mataji na team yake ya Molde huko Norway, music wa EPL ni habari nyingine.
Chelsea nako: Lampard nae huko Derby County alishika nafasi ya 6. Hata hiyo play-off aliingia kwa bahati na akashindwa kunavigate kuingiza team EPL. Kwa stature yua Chelsea, huyu alikuwa hafai. Hivi vipigo mfululizo ni stahiki yake.