daaaamn....................Fagia Fagia ya Mourinho itaanza rasmi..mbona uzi umepooza man utd 0 Dortmound 2
Hatari ipi?Aisee man united kapigika 4-1 hii ni habari mbaya kwa mourinh
NNE unaziona chache?Hatari ipi?
Sana kuliko arsen8.....NNE unaziona chache?
endelea kuota.......Masister United kama mikia fc
Mtachezea sana kichapo maana mnamuona special one kama MunguSana kuliko arsen8.....
Ni maoni yako tu..........najua sasa pressure ziko juu.......msijali tutakuwa tunawafunga magoli machache tu.Mtachezea sana kichapo maana mnamuona special one kama Mungu