Man Utd vs BvB 1-4, Highlights

Man Utd vs BvB 1-4, Highlights

Mtachezea sana kichapo maana mnamuona special one kama Mungu
Ni maoni yako tu..........najua sasa pressure ziko juu.......msijali tutakuwa tunawafunga magoli machache tu.
 
Mechi za kujaribu formation tu hizi.! Mambo yatakuwa fresh tu kadri anavyowajua wachezaji wake. Kumbuka amekaa nao kwa wiki 2 tu & wengine hawapo, wakati Dortmund ni timu ile ile na kocha yule yule. Hivyo wanajuana vyema .. Ni lazima ufungwe tu, na alilisema hilo juzi kabla ya mechi.
 
Back
Top Bottom