Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Mara eti harvetz wanawaambia arsenal walipe 80mm, hawa jamaa wameweuka.Wakati Liverpool Macalister 35 Tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Havetz Madrid walitaka Kwa 50..Mara eti harvetz wanawaambia arsenal walipe 80mm, hawa jamaa wameweuka.
Madrid wameamua kujitoa kwa maana waanaona hawako seriousHavetz Madrid walitaka Kwa 50..
Sanaaaaa
Hao wachezaji wa kiingereza ni majanga sana, bei zao ni kubwa kuliko uhalisia na uwezo wao.
Man u kuna shida kubwaYaani Man u sijui nani katuloga, sasa mount wa Nini hata, Chelsea reject tunataka kuvunja benki!!!!