Man utd

Man utd

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
324
hawa jamaa wanafanya kazi nzito na nzuri sana msimu huu.. I really appreciate them.. Sasa nashangaa sisi tunaowapenda eti washabiki wao wanatuita haters. Hongera sana Man kwa kumpiga blackburn 3-0
 
Kazi ipo mana Manchester City wako juu yao.
 
taarifa, baba ubaya mchora katuni ahamia arsenal llivee
 
naona leo kipofu kauona mwezi aisee
 
Back
Top Bottom