Man Water: Ali Kiba hajanilipa, kaenda kurudia nyimbo tulizofanya kwingine

najua sana maana ya producer. Producer siyo lazima ndiye awae ametengeneza beat au kuhsuika na kuingiza vocals vyote vinaweza fanywa na watu wengine halafu producer awe mwingine.
turudi kwenye point ya msingi unaweza kuniletea reference yoyote ya kuwa producer ndiye anamlipa msanii?
Mimi nimeuwekea link jinsi msanii anavyomlipa producer

Producer ni Kama movie director, I know who I want, what I want, how I want it, and how I will make money through it

Producer ni author wa kila kitu,

Kama msanii anakuwa mkubwa Sana na anadirect yeye...anapokea majukumu ya producer

Producer anatakiwa kuwa na hela, business deal, kuandaa collable na kuona how they will make money n.k

Sadly producers wamegeuka na kuishia kuchanganya nyimbo
 
n
Nadhani hii ni mpya pia kwangu, unaweza kutoa ufafanuzi kwa kina?

Ukiwa na mifano halisi itakuwa poa.
 
Nipe reference wa hiki unachokisema. Hivi unajua hata most times movie director they do not own the movie? I think hauko well informed ndiyo maana umekosa hata kunipa link hata moja ya unachokisema.
narudia tena naomba reference ya unachokisema.
Producer atalipwa kwa kila atakachofanya, kama alishiriki kuandika atapata royalty ya uandishi, kama alishiriki ku arrange mziki tapata royalty ya kazi hiyo.
Producer hamlipi msanii ila msanii analipia studi session na kila lisaa analotumia producer kutengeneza huo mziki na bado producer atakuwa na royalty zake kwa kila mauzo au pesa itakayotengenezwa na huo mziki ambapo between 3 ot 5%
 
Ukichukulia producer Kama movie director ...unamlipa msanii

Ukichukulia Kama unaishia kuchanganya vyombo utalipwa na aliyekuajiri

Soma hii article uone mkanganyiko unatokea wapi

Nipe reference wa hiki unachokisema. Hivi unajua hata most times movie director they do not own the movie? I think hauko well informed ndiyo maana umekosa hata kunipa link hata moja ya unachokisema.
narudia tena naomba reference ya unachokisema.
Producer atalipwa kwa kila atakachofanya, kama alishiriki kuandika atapata royalty ya uandishi, kama alishiriki ku arrange mziki tapata royalty ya kazi hiyo.
Producer hamlipi msanii ila msanii analipia studi session na kila lisaa analotumia producer kutengeneza huo mziki na bado producer atakuwa na royalty zake kwa kila mauzo au pesa itakayotengenezwa na huo mziki ambapo between 3 ot 5%

Mkuu

Maneno yanachanganya hayo

Ukitafsiri kwa direct Swahili, inakuja kwangu

Ukiishi kwa experience yako...ndio hao akina manwalter

Majani P,-Funk, tried as I am telling you

P-Funk took producer on highest possible level
 
lakini kwenye hiyo link hakuna sehemu wameandika producer anamlipa msanii. unalosema ni sawa producers ndiyo wna create music tena hata mbele unakuta mziki hata mashairi wameyataarisha wakatafuta msanii aje aimbe lakini still hawamlipi yeye ndiye anawallipa na wanabaki na royalties.
Niletee link ambapo msanii analipwa na producer
 
Mkuu umeandika Nini Sasa?

Yes ndio maana ya producer, Kama kaandaa kila kitu yeye, kamtafuta vocalist yeye anaweza mlipa and vice versa

Angalia maswali hayo na majibu

Kikubwa Nani ana nguvu? Usikrem unachojua😂
 
Unaniletea link ya reddit which is just a forum just like jamiiforums, hizo ni minor cases lakini majority of the songs haiko hivyo mfano wimbo wa halo wa beyonce initially uliandikwa na maproducer wawili na aliandikiwa Leona Lewis akaleta pozi ndiyo akapewa beyonce ikiwa kila kitu kishaandaliwa kuanzia beats na vocals na kila kitu yani yeye ni kuigilizia tu. but still producer wamebaki na loyalities na aliwalipa studio na recording hours.
Hata nyimbo ya diamond ya diana same thing
njoo forever young ya Jay Z, ile ngoma Kanye alikuwa studio na Mr Hudson, aksikia ule wimbo OG version yake ukipigwa redion, akapata feeling akatengeneza mdundo akamwambia Hudson arudie chorus vile vile then akautuma kwa Jay Z via simu Jay Z akaandika mashairi akaja ingiza verse lakini Kanye kabaki na royalties kama producer na jay z alilipia studio session pamoja na muda aliotumia kurekodi.
Ni minor cases ambapo producer anamlipa msanii na ikitokea hivyo nyimbo inajulikana kuwa niya producer mfano kuna wimbo unatwa read all about it kaimba emil Sande mle ndani lakini wimbo siyo wa kwake same applied kama ambavyo DJ Khalid anafanya kumbuka dj Khalid ni producer pia na nyimbo hata kama haimbi zinajulikana kuwa ni za kwake from the beginning.
 
Mkuu umeandika Nini Sasa?

Yes ndio maana ya producer, Kama kaandaa kila kitu yeye, kamtafuta vocalist yeye anaweza mlipa and vice versa

Angalia maswali hayo na majibu

Kikubwa Nani ana nguvu? Usikrem unachojua😂

sijakremu ila nimekuwa nikifuatilia how music industry kwa wenzetu inavyofanya kazi na nani anapata nini kwamuda mrefu. hapa naona we unaleta unavyofikiria wewe zaidi
 
Ni kina nani hao kiba sijui water mara Mond mara tena producer,mi navyojua producer ni mtu anayefyatua watoto,mwanaume yoyote anayefyatua watoto ni producer
 
Hivi hapa bongo hili neno Producer lina maana gani?

Mana kwa ufahamu wangu mimi ilitakiwa msanii ndie alalamike kuwa hajalipwa na Producer na sio producer alalamike yeye hajalipwa na msanii.
Ni Sawa na Mchora Ramani ya Jengo (Kiba) na Mjenzi (Man Walter) Nani atatakiwa kumlipa mwenzake ili mjengo Utokee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikusahihishe kidogo, hata muziki una ma director, so kikazi producer wa muziki na producer wa movie ni sawa tuu tofauti ni vifaa na mazingira wayatumiayo katika kazi zao.
Producer ni Kama movie director, I know who I want, what I want, how I want it, and how I will make money through it

Producer ni author wa kila kitu,

Kama msanii anakuwa mkubwa Sana na anadirect yeye...anapokea majukumu ya producer

Producer anatakiwa kuwa na hela, business deal, kuandaa collable na kuona how they will make money n.k

Sadly producers wamegeuka na kuishia kuchanganya nyimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hapa bongo hili neno Producer lina maana gani?

Mana kwa ufahamu wangu mimi ilitakiwa msanii ndie alalamike kuwa hajalipwa na Producer na sio producer alalamike yeye hajalipwa na msanii.
Hahahauah uko serious mkuu?
 
Tatizo wasanii wanapenda kitonga, mkizoeana anataka offer, ukiwakazia watoe pesa wanasepa, niliwasikia baadhi ya maproducer wamelisemea ili swala, ila kiba kamfanyia roho mbaya Walter, Walter mkifaamiana MTU safi mwenye huruma sana si MTU wa kulingia jina lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu ambaye anampatia kiba kwa midundo mikali ni man water ngoma zote alizotoa kiba hiv karibuni ambayo hajafanya na man water hazijafanya vizuri.Manwater pia nifundisho kwake kwa kuingilia bifu isiyomuhusu Kati ya kiba na mondi sasa hiv anakula matapishi yake mwenzake s2kizzy anakula tu maisha uko.
s2kizzy ZOOOOMBI
 
Mnamshambulia huyo Ally, mnajuaje mambo yake ya financial?

Yule meneja wake mpya hana mtaji amlipie?
 
Back
Top Bottom