We ulitaka Aongeeje? Unataka aongee unavyotaka Wewe?Sio kweli kiba hawezi kulipa hiyo hela ni dharau,jeuri na kujiona mjuaji na kutaka kumkomoa jamaa, nothing else, nimesikiliza interview yake kaongea kwa dharau sana yule broh
Kama ndio kamtengenezea seduce me basi kiba laana itamtafuna!!..
Kumbe wewe ni shabiki wa kiba ndomaana unaichukia WCB ila una moyo kumshabikia Kiba dah!Man Water Studio yake Haina Jipya Ana njaa Kiba alikua anamweka hewana sana,.
Kiba anambeba Sana Man water studio yake ilishapoteza Mvuto,. Ukibisha Weka Hit tofauti za Ali kiba alizozifanya Man Water kwa Miwili au mitatu nyuma.
Kwahiyo ulitaka kila MTU Tanzania amshabikie domond? Unataka kusema mama ako pia ni shabiki wa domond? Baba ako je? Unataka kusema mama ako asipomsikia domond usiku halali?Kumbe wewe ni shabiki wa kiba ndomaana unaichukia WCB ila una moyo kumshabikia Kiba dah!
Bora umshabikie harmonize kuliko kiba me mwenyewe nilishakuwa mshabiki wa kiba tokea atoe ngoma ya aje sijawahi kufurahishwa na ngoma zilizofuata baada ya hapo.Kwahiyo ulitaka kila MTU Tanzania amshabikie domond? Unataka kusema mama ako pia ni shabiki wa domond? Baba ako je? Unataka kusema mama ako asipomsikia domond usiku halali?
Unakasirika, unafurahi na wakati unanuna kutoka kwa mtu ulie maili nyingi kama si kilometa za kutosha kutoka hapo ulipo hadi pale alipo, Makutano makuu ya mara kwa mara ni "SOCIAL MEDIA"Pasipo haya mambo dunia haijakamirika au kwa mtizaml wako tuwe kama kisiwa yaani watu wasizungumzie watu maarufu eti kwa kwa sababu hupati pesa.
Dunia haiwezi kuwa yenye furaha, karaha nk kwa kuacha kuongelea haya
Hizo nyimbo ni mbaya kwako tu but kwa watu wengine ni ngoma Kali na watu wanaenjoy flavor km kawa, Mimi sio shabiki wa msanii km wewe Mimi ni shabiki wa muziki mzuri so kiba asipotoa ngoma hata miaka10 atajijua mwenyewe ili mradi wasanii wengine wanatoa ngoma Kali mi naendelea kuenjoy flavour ya muziki mzuri that's all,Bora umshabikie harmonize kuliko kiba me mwenyewe nilishakuwa mshabiki wa kiba tokea atoe ngoma ya aje sijawahi kufurahishwa na ngoma zilizofuata baada ya hapo.