Man water kumrudisha 20% kwenye muziki, aweka sababu zilizomkwamisha

Man water kumrudisha 20% kwenye muziki, aweka sababu zilizomkwamisha

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mtaarishaji wa muziki man water (walter?) amesema anamrudisha msanii 20% kwenye muziki na alikuwa amekwamwa kutokana na wao wawili kukumbwa na matatizo ya kifamilia, lakini wana nyimbo ambazo wameziandaa ila watazitengenezea video ili watu wamuone alivyo ndio nyimbo itapata kiki nzuri
 
Kila la kheri. Uzuri wa muziki wake, ulibebwa sana na aliyokuwa akiyasema zaidi ya jinsi alivyoyasema. Kwa lugha rahisi, dude built and conquered on messages he was delivering, rather than swag. Swag plays out with time.
 
Msanii 20% kama isinge kuwa mambo yake ya kijinga angekuwa mbali sana kimafanikio sema uhuni wa kijinga umempoteza ngoja tusubiri huenda kajirekebisha!
 
Afande Sele AME ruin future ya 20%

Huyo Mzaramo hana akili wenzake tunafia nyumbani Dar kama Gaddafi ye akakimbilia Morogoro kwa yule mfalme mwenye rasta chafu.
efade04919462bce326917524d32d0a7.jpg
 
Mtaarishaji wa muziki man water (walter?) amesema anamrudisha msanii 20% kwenye muziki na alikuwa amekwamwa kutokana na wao wawili kukumbwa na matatizo ya kifamilia, lakini wana nyimbo ambazo wameziandaa ila watazitengenezea video ili watu wamuone alivyo ndio nyimbo itapata kiki nzuri

Ajipange sana kwa kweli maana sasa hivi maskio ya watanzania yameshikwa na wasanii wachache sana.....
 
Mpaka aje afikie level zile alizokuwa anaitajika afanye kazi ya ziada
 
Huyo jamaa kipaji alipewa kwa bahati mbaya lakini hakustahili kabisa kuwa nacho
 
Huyu dogo alikuwa vzr nadhani jani lilichangia kumuangusha
Na Huo Ndio Ukweli, Mambo Mengine Yote Ni Lawama Zisizo Na Msingi

- Tatizo Ndumu, Ndumu, Ndumuuuuu

- Unamuiga Afande Sele Wakati Yeye Ndumu Zishamzoea Mwilini
 
20%, chidi ben, ray D, na kR wAUNDE KUNDI MOJA labda itawasaidia kurudi kwenye game.. ila hvihvi hata ije miujiza hamna kitu waachie ngazi aisee wasanii ni wengi sio wao tu hata kazi watu wanastaafu
 
20%, chidi ben, ray D, na kR wAUNDE KUNDI MOJA labda itawasaidia kurudi kwenye game.. ila hvihvi hata ije miujiza hamna kitu waachie ngazi aisee wasanii ni wengi sio wao tu hata kazi watu wanastaafu
Kr ni msanii anaebebwa na makundi sidhan kama kuna nyimbo alizosimama peke yake
 
Back
Top Bottom